Kutoka mtaa wa Kajificheni
18 Julai 2025
BALAA! UTEUZI WA RAIS SAMIA KUWA MGOMBEA URAIS WAKOSOLEWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=shirWtjss_8
Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Amb. Humphrey Herson Polepole amekosoa vikali jinsi chama tawala cha Mapinduzi, CCM, kilivyokiuka utaratibu kwa kumpitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar...kule Dodoma tarehe 19 January 2025..
Balozi Polepole anafafanua batili ya uamuzi huo wa ...
Uyo polepole nani ndani ya CCM mnajisumbuaaa na ulokole wenu!!!!!!
RIP mzee JPM uyu mzee alipenda mawazo mapya hasa ya kipinzani pinzani ndio akawapa nguvu !!!
mfano Kitila Mkumbo, Mwita Waitara, rip Anna Mghwira, ESTHER Matiko, julias Mtatiro , na uyoo Polepole, NK !!
wote JPM ndio kawainua na Sababu walikuwa wapinzani poa ndicho alichopenda mzee wetu JPM !!!
kwaiyo leo kumuona Polepole nayeye ni kigogo CCM haaaaaaaa !!!
Polepole uyu uyu mnamjua lkn au !!
uyo Dogo alikuwa na mawazo pinzani lkn CCM kuna kitu wakakubaliana na Polepole gafla tukamuonaa kwenye TV sasa akiitetea CCM kweli kweli !!!
Baada ya Uchaguzi JPM akamteuwa kuwa katibu itikadi Uenezi CCM !!!
sasa leo kawa kigogo CCM mnachekesha sana!!
Na mnatapatapa sana walokole poleni tu
Rais Samia mpaka 2030 pasukeni tu.
uyo polepole
kakosa Toyota V8 macho yanamtoka !!
mtaama pia kwa Polepole kama mlivo hama kwa gwajima leo
CCM milele daima.
CCM milele amina.