TOKA MAKTABA
19 January 2025
SAMIA AGOMA KUTOKA NJE, BAADA YA KUOMBWA AZINGATIE UTAMADUNI
Ghafla Mbunge Lusinde Kibajaji Aomba Mwenyekiti Samia Kuwaacha Kwa Jambo Lao. Mwenyekiti Agoma....
View: https://m.youtube.com/watch?v=qlGYAoqK0Yc
19 January 2025
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja live mubashara ya mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika jijini Dodoma, Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huu maalum uliowakutanisha wabunge zaidi ya 1900, na kuhudhuiwa na watu zaidi ya 5,000... Livingstone Lusinde baada ya kutoa shukrani akumbushia utamaduni wa kuwataka wagombea watoke nje ya ukumbi ili wajumbe wapate nafasi kuwajadili
Lakini ...ghafla mbunge Lusinde Kibajaji aomba mwenyekiti Samia kuwaacha kwanza wajumbe ili watekeleze jambo lao, Mwenyekiti Agoma kutoka nje na kuwakazia macho wajumbe mnataka kufanya nini mimi nikiwa sipo ukumbini ...
Na ieleweke, tunapachukua hatua zisizo halali na kufanya mahakama zetu kuwa rubber stamps, haitaishia kwa wapinzani tu,kuna siku zitakosa maana na kwenu mnaozitumia vibaya!Tatizo ni moja tu, jee tunazo Mahakama Tanzania? Kwa kinachoendelea kwenye kesi ya uhaini ya Lissu na ile ya Wazanzibari vs uongozi wa Chadema ni dhahiri hatuna Mahakama Tanzania.
SamiaBosi wa CCM ni nani ?
Kama una vielelezo vyote uoga wa nini wa wewe kwenda kufungua kesi? Au ni yaleyale ya waende wengine?Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Urahisi mtamu,,,, Januari alichokifanya huyu Mama ni kiboko
Mkuu Tz kuna mahakama inayoweza kutoa haki?Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Atakayeenda Mahakamani atauawa haraka sanaVielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mimi naongeza hoja, juu ya hoja.Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Tangu hii nchi ipate uhuru Kuna rais aliekatishwa asiendee kuwa mgombea wakati wa uchaguzi.
Kwa Nini kwa huyu iwe nongwa kiasi hiki?
Wakati kuanzia awamu ya kwanza hakuna mwananchi alie jua Nini has kinaendelea kwenye uchaguzi katika chama.
Angalieni hao wasiolitakia taifa mema. Walipokua wao kwenye manono na kuhusika na maamuzi ya chama na serikali walikua kimyaa na kupiga debe tu.
Hakuna sababu ya msingi raising wa Sasa asiwe mgombea. Huu wakati wa mpito kutoka awamu ya Tano na sita nchi imepita kwa amani kwa amani japo Kuna mapungufu ya kawaida na yalio tokea hata awamu zilizo pita.
Uchumi upi umepaa? Bei za bidhaa zinapaa kila sikuUchumi unapaa sekta zote
Sekta ya huduma za jamii ni bora kuliko awamu zote.
Naona upo umekumbatia buyu la asali na huelewi kitu kingine chochote nje ya hilo buyu!Tangu hii nchi ipate uhuru Kuna rais aliekatishwa asiendee kuwa mgombea wakati wa uchaguzi.
Kwa Nini kwa huyu iwe nongwa kiasi hiki?
Wakati kuanzia awamu ya kwanza hakuna mwananchi alie jua Nini has kinaendelea kwenye uchaguzi katika chama.
Angalieni hao wasiolitakia taifa mema. Walipokua wao kwenye manono na kuhusika na maamuzi ya chama na serikali walikua kimyaa na kupiga debe tu.
Hakuna sababu ya msingi raising wa Sasa asiwe mgombea. Huu wakati wa mpito kutoka awamu ya Tano na sita nchi imepita kwa amani kwa amani japo Kuna mapungufu ya kawaida na yalio tokea hata awamu zilizo pita.
Uchumi unapaa sekta zote
Sekta ya huduma za jamii ni bora kuliko awamu zote.