Basi sasa watendeeni mnatofautiana nao kimtazamo vile inavyostahili. Msiwateke na kuwapoteza wala msiwabambikie kesi.Tangu hii nchi ipate uhuru Kuna rais aliekatishwa asiendee kuwa mgombea wakati wa uchaguzi.
Kwa Nini kwa huyu iwe nongwa kiasi hiki?
Wakati kuanzia awamu ya kwanza hakuna mwananchi alie jua Nini has kinaendelea kwenye uchaguzi katika chama.
Angalieni hao wasiolitakia taifa mema. Walipokua wao kwenye manono na kuhusika na maamuzi ya chama na serikali walikua kimyaa na kupiga debe tu.
Hakuna sababu ya msingi raising wa Sasa asiwe mgombea. Huu wakati wa mpito kutoka awamu ya Tano na sita nchi imepita kwa amani kwa amani japo Kuna mapungufu ya kawaida na yalio tokea hata awamu zilizo pita.
Uchumi unapaa sekta zote
Sekta ya huduma za jamii ni bora kuliko awamu zote.
Mimi nataka kuwa 'contrarian', angalau kidogo kwa hili, na kwa wakatui huu husika tulioPo.Labda ingekuwa mahakama za Kenya, Malawi na Zambia.
Kweli kabisa, mahakamani iwe kama kianzio, haiwezekani tusukumiziwe garasa kwa lazima namna hiiMimi nataka kuwa 'contrarian', angalau kidogo kwa hili, na kwa wakatui huu husika tulioPo.
Sababu zangu:
. Huko ndani ya CCM kwenye kumegawanyika. Kuwa mwenyekiti wa CCM hakuwaogopeshi mahakimu. Kuwa mkuu wa serikali (Rais), kwenyewe pia hakuogopeshi kama nyakati nyingine, kabla ya rais kuwa 'lame duck', kama alivyo sasa.
2. Jumanne Ibrahim, hayupo tena kwenye Ukuu wa Mahakama. Huyu alikuwa ni msimamizi mkuu kuhakikisha mahakimu wanakuwa kwenye mstari wa kutimiza matakwa ya GENGE la Samia. Kwa hiyo usishangae kuona mahakama ikijitutumua, ili ionekane tofauti na yaliyopita.
3. Ni nani ajuae, siyo mahakimu wote ni 'zero brain'. Huko huko kuna mahakimu wanaoumizwa na hali mbaya inayo endelea nchini.
Kwa sababu hizi na nyinginezo, siyo mbaya kuPieleka kesi mahakamani; iwe kama ni 'layer' moja ya mapambano na kundi hili linalotaka kulazimisha mtu wao kutawala nchi hii kwa nguvu.
Kama huko mahakamani kutashindikana, si maambano mengine yanaendelea?
NO REFORM, NO ELECTION; ipo palepale.
Kwa haya yanayotokea nadhan hata CCM deep down mnaona umuhimu wa katibaVielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mahakama za simu mojaMahakama gani?, hii ya hapa isiyo huru ama ipi?
Mahakama hizi za phonecalls?Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
unafahanu kwamba Trillion 107 ukipakia kwenye treni ya SGR seat zote zinajaa na pesa zinabaki nje? Unajua hilo?Mbona kwa jpm kujiteua hamkupiga kelele hivi. Au kwa vile ni muislam kinawauma. Jpm aliua mamia kwa mamiloni lakini kimya kilitawala. Ukizungumza tu unaliwa kichwa
unafahanu kwamba Trillion 107 ukipakia kwenye treni ya SGR seat zote zinajaa na pesa zinabaki nje? Unajua hilo?
JPM alishindanishwa kwenye ngazi hatua zote, hapakuwa na fomu moja ya ugombea
unafahanu kwamba Trillion 107 ukipakia kwenye treni ya SGR seat zote zinajaa na pesa zinabaki nje? Unajua hilo?
JPM alishindanishwa kwenye ngazi hatua zote, hapakuwa na fomu moja ya ugombea