Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Mimi najua wasomi hupambanua mambo kisomi, lakini msomi wewe ni mweupe kichwani. Ni vipi msomi umeshinwa kuona tofauti kati ya rais Samia na mgombea wa CCM Samia! Rais Samia hauwezi ukampinga mahakamani kulingana na katiba mbovu ya nchi, lakini mgombea wa CCM Samia unaweza ukampinga mahakamani kulingana na katiba ya CCM.Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?