FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Mahakama gani?, hii ya hapa isiyo huru ama ipi?Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ kwenda kuweza zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Tatizo ni moja tu, jee tunazo Mahakama Tanzania? Kwa kinachoendelea kwenye kesi ya uhaini ya Lissu na ile ya Wazanzibari vs uongozi wa Chadema ni dhahiri hatuna Mahakama Tanzania.Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ kwenda kuweza zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Ila Yoda mchokozi 😹Wataalamu wa sheria ambao hawajawahi kufika mahakamani Pascal Mayalla
Hakuna uharamu katika candidacy ya Samia, bali kuna mtafaruku tu kwa Sukuma Gang. Ni kwamba Samia yuko mbele ya muda, amewawahi wakiwa hawajavaa kaptura.Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
LAbda kama wataungana na movement ya katiba mpya kwanzaVielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mahakama ipi!!!!??? Upo nchi gani wewe?Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Mahalama hizi hizi za kesi ya Lissu au za Uingereza?Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Ukisema huduma za jamii, hospitali na manispaa unazijumuisha?Tangu hii nchi ipate uhuru Kuna rais aliekatishwa asiendee kuwa mgombea wakati wa uchaguzi.
Kwa Nini kwa huyu iwe nongwa kiasi hiki?
Wakati kuanzia awamu ya kwanza hakuna mwananchi alie jua Nini has kinaendelea kwenye uchaguzi katika chama.
Angalieni hao wasiolitakia taifa mema. Walipokua wao kwenye manono na kuhusika na maamuzi ya chama na serikali walikua kimyaa na kupiga debe tu.
Hakuna sababu ya msingi raising wa Sasa asiwe mgombea. Huu wakati wa mpito kutoka awamu ya Tano na sita nchi imepita kwa amani kwa amani japo Kuna mapungufu ya kawaida na yalio tokea hata awamu zilizo pita.
Uchumi unapaa sekta zote
Sekta ya huduma za jamii ni bora kuliko awamu zote.
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na mahakama?
Aliwahi kujinasibu hivyo Paskali mwenyewe, kwamba Lissu asijioene mwenye akili mwenyewe tu kwa sababu anashinda mahakamani, hata yeye Paskali ni wakili japo hajawahi kusimamia kesi hata moja.Ila Yoda mchokozi 😹