Je, ujenzi wa nyumba hii utanigharimu kiasi gani cha fedha?

Kabisa, finishing inategemea na quality ya milango utakayochagua, kama utaweka celling board au gypsum bei zitatofautiana. kama utaweka sakafu au tires, bei zitatofautiana. N.k
Hivi na huku uswahilini nyumba za mbao zinajengeka kweli kama kwa wenzetu?
 
Inategemea ulipo. Huku kwetu Ar mpakani mwa Kenya Rumu moja mpaka ukamilishe ni 1.Mawe lori moja 100000 2.Mchanga lori moja 60,000 Cement mifuko miwili. Fundi laki moja, na kokoto toroli 8 maji gari moja na n.k tuseme 70000. Huo ni msingi.


B. Natofali 300 sh 700000 2.mifuko 5 ya cementu@13500 3.Maji gari moja 25000 mchanga na kokoto ya lenta 80000.



C.Kupaua Bati 12@15000 2.Mbao n.k hapo ni makadirio ya kati. Chumba kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa hiyo jumla sh ngapi au tujumlishwe na kugawanya wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…