Je, ujenzi wa nyumba hii utanigharimu kiasi gani cha fedha?

913858af7c690b4f20b210e8458e425e--apartment-floor-plans-first-apartment.jpg

NIMESHAPATA KIWANJA NINGEPAENDA KUJUA HAPA ITANITOKA SHILINGI NGAPI KUJENGA NYUMBA YA CHUMBA KIMOJA KAMA HIYO
Hii kwa uzoefu wangu haitazid million 15 lakini ni kutokana na maeneo ambayo cement,mchanga,mawe na kench bei zipo chini.
 
Kabisa, finishing inategemea na quality ya milango utakayochagua, kama utaweka celling board au gypsum bei zitatofautiana. kama utaweka sakafu au tires, bei zitatofautiana. N.k
Gypsum Na Ceiling board Ni ipi yenye Gharama zaidi?
 
Back
Top Bottom