minja mgumu
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 206
- 315
Ushauri wa kina,kwanza jina lako linamaanisha kilicho ndani yako ok!,tuyaache hayo iko hivi.hakuna atakae kupa jibu sahihi kuwa nyumba hiyo ita kugharimu kiasi gani?,kwanza iko hivi ,maeneo huwa yamegawanyika ktk makundi tofauti tofauti kivip?eneo la tambalale ,pili, eneo la mwinuko/kilimani/slops. Tatu, eneo la tifu tifu udongo wake/majarubani /sehemu yenye maji maji.haya mazingira hayo mkijenga kila mmoja nyumba zinazo fanana gharama zenu haziwezi kufanana hata kidogo,nadhani utakuwa umepata pata mwanga.
Haya kingine ni materials/vikamilisha nyumba yako wanaviuzaje uko uliko,'fundi' + kibarua wake kwa siku',mawe,mchanga,cement,kokoto,(aina ya tofali/block/choma,misumali,(inch ngapi),mbao,bati,celingboard/gpsam,vigae/floor ,milango,rangi,mpaka hapa lazima uvijue kwa mazingira ya ujenzi wako alafu ndo umtafute fundi uchukue maelezo yake usihishie kwa fundi mmoja bali wawe tofauti tofauti ili upate uhakika zaidi.ngoja nikuibie kasiri kadogo ukitaka kujenga ukimpata fudi patana naye kwa tofali moja bei gani hapo utakuwa umeuwa vbaya mno maana yye fundi atakimbizana na idadi ya tofali ili apate chake alafu cmamia boc utafaidi ujenzi wako.ila mafundi msichukie twendeni tutafika nchi ya v.....da