Je, ujenzi wa nyumba hii utanigharimu kiasi gani cha fedha?

Mkuu huku kwetu tofali ya kuchoma utatumia million 3 haita zid hapo yani hapo unaamia tu

1) tofali moja 100,hiyo nyumba ni fofali 3000
3000*100=300000

2) kokoto Lori moja 80000

3)mchanga Lori moja 200000 ukitaka debe ni 1000 nyumba hiyo ni debe 150= 150000

4)cement 10 tu 10×13000=130000

5)mbao 2×2 ni 44 pamoja na za siringi body mbao moja ni sh 3000× 44=

6) mbao 4× 2 ni 22 mpauo wa kiduku wa kisasa mbao moja 5500×22=

7)bati 20 bati moja ni 17000×20=

8)siringi body 10 ×16000=

9)madirisha ,milango 400000 tena madirisha ya vioo

Hapo nyumba imeisha mkuu zilizo baki mbwembwe tu

NB : huku tunajengea tope usafi tu ndio tunatumia cementi ardhi ya kuchimba choo ni ngumu haina haja ya kujengea chin gharama ni kufunika tu ambayo ni kama 100000

Karibu kwetu ukishindwa kujenga nyumba huku we utakuwa umelogwa mie mtoto wa dar nipo huku mpwende now na kamjengo kwa hiyo siongei bla bla tu...






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah...hii home work tena !
 
mkuu uko wapi
 
Unatia matumaini ya kujenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…