Je, ujenzi wa nyumba hii utanigharimu kiasi gani cha fedha?

Ushauri wa kina,kwanza jina lako linamaanisha kilicho ndani yako ok!,tuyaache hayo iko hivi.hakuna atakae kupa jibu sahihi kuwa nyumba hiyo ita kugharimu kiasi gani?,kwanza iko hivi ,maeneo huwa yamegawanyika ktk makundi tofauti tofauti kivip?eneo la tambalale ,pili, eneo la mwinuko/kilimani/slops. Tatu, eneo la tifu tifu udongo wake/majarubani /sehemu yenye maji maji.haya mazingira hayo mkijenga kila mmoja nyumba zinazo fanana gharama zenu haziwezi kufanana hata kidogo,nadhani utakuwa umepata pata mwanga.

Haya kingine ni materials/vikamilisha nyumba yako wanaviuzaje uko uliko,'fundi' + kibarua wake kwa siku',mawe,mchanga,cement,kokoto,(aina ya tofali/block/choma,misumali,(inch ngapi),mbao,bati,celingboard/gpsam,vigae/floor ,milango,rangi,mpaka hapa lazima uvijue kwa mazingira ya ujenzi wako alafu ndo umtafute fundi uchukue maelezo yake usihishie kwa fundi mmoja bali wawe tofauti tofauti ili upate uhakika zaidi.ngoja nikuibie kasiri kadogo ukitaka kujenga ukimpata fudi patana naye kwa tofali moja bei gani hapo utakuwa umeuwa vbaya mno maana yye fundi atakimbizana na idadi ya tofali ili apate chake alafu cmamia boc utafaidi ujenzi wako.ila mafundi msichukie twendeni tutafika nchi ya v.....da
 
Wageni ni Baraka, ukiwa mpweke utakuea maskini. Angalia wasukuma wanapenda wageni wana ngombe wengine
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kumwambia hivyo utasababisha aondoe sebule kwenye ramani yake

sent from Sokoro nkorambokande
Hiyo ndio hali ambayo ameamua kupambana nayo, kwa hamna namna mkuu
 
Very nice...mdogo mdogo unachanja mbuga.

The Great Gatsby
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kumwambia hivyo utasababisha aondoe sebule kwenye ramani yake

sent from Sokoro nkorambokande
Hahahahah, ataondoa sebule aweke PARKING
 

Ni wapi Huko
 
Ni wapi mwana
 
Hiyo inaitwa bachelor pad,hata mie nataka kama hyo,wageni wanakaribishwa lakini anakuja na kuondoka sio wa kulala
nicheki nikufanyie kazi
 

Attachments

  • D_1 - Photo.jpg
    268.2 KB · Views: 3
  • D_2 - Photo.jpg
    261.6 KB · Views: 5
  • D_6 - Photo.jpg
    243.7 KB · Views: 4
  • D_7 - Photo.jpg
    389.7 KB · Views: 4

NIMESHAPATA KIWANJA NINGEPAENDA KUJUA HAPA ITANITOKA SHILINGI NGAPI KUJENGA NYUMBA YA CHUMBA KIMOJA KAMA HIYO
Vipimo haujaweka! Hiyo ramani ipo kwa mtindo wa picha, haijulikani ukubwa wake. Weka vipimo tuchemshe ubongo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…