Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

Sehemu ninakoishi nadhani Ni Mimi pekee ndo member wa JF, wengine wote hata hawajui Kama Kuna mtandao unaoitwa Jamiiforums😂

Kwa siku nikifa Hakuna atakayekuja kutoa taarifa.
pamoja na kuishi miji mingi mingi ila sijawahi kutana na mtu anatumia jf.

Na humu tupo wengi tu, nadhani watu hawapend kuutumia huu mtandao hadharani kwa kuogopa id yake kujulikana.
Labda hapo wapo ila ndo hao wanajificha.
 
Mm sijulikani even kaka angu ni mdau humu...
Sijawai mwambia Id yangu humu for years yeye ni msomaji wa habari Huwa hachangii mijadala.......

Currently nimeanza ku socialize na watu hope nitakua hapa nyumbani Jf forever......😊😊😊🤓🤓🤓
 
ni vyema ikawepo button ya kudelete akaunti.
 
ni vyema ikawepo button ya kudelete akaunti.
Haina haja mfano mm kabla sijajiunga nilikua nilitaka information zozote....
Naandika heading mbele naweka jamii forum
Asikwambie mtu Kila topic zipo zinasaidia sana jamii......
Haina haja ya ku delete account in my side...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…