Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

Sehemu ninakoishi nadhani Ni Mimi pekee ndo member wa JF, wengine wote hata hawajui Kama Kuna mtandao unaoitwa Jamiiforums😂

Kwa siku nikifa Hakuna atakayekuja kutoa taarifa.
pamoja na kuishi miji mingi mingi ila sijawahi kutana na mtu anatumia jf.

Na humu tupo wengi tu, nadhani watu hawapend kuutumia huu mtandao hadharani kwa kuogopa id yake kujulikana.
Labda hapo wapo ila ndo hao wanajificha.
 
Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi?

Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara

Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo

Binafsi sina ila ndio hvyo tunasonga
Mm sijulikani even kaka angu ni mdau humu...
Sijawai mwambia Id yangu humu for years yeye ni msomaji wa habari Huwa hachangii mijadala.......

Currently nimeanza ku socialize na watu hope nitakua hapa nyumbani Jf forever......😊😊😊🤓🤓🤓
 
Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi?

Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara

Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo

Binafsi sina ila ndio hvyo tunasonga
ni vyema ikawepo button ya kudelete akaunti.
 
ni vyema ikawepo button ya kudelete akaunti.
Haina haja mfano mm kabla sijajiunga nilikua nilitaka information zozote....
Naandika heading mbele naweka jamii forum
Asikwambie mtu Kila topic zipo zinasaidia sana jamii......
Haina haja ya ku delete account in my side...
 
Back
Top Bottom