Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mimi nilitaka niandike hivi nikaacha😂Nikipotea humu miezi sita mfululizo ruksa kupiga chata ya rip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilitaka niandike hivi nikaacha😂Nikipotea humu miezi sita mfululizo ruksa kupiga chata ya rip
Mimi nilitaka niandike hivi nikaacha😂Nikipotea humu miezi sita mfululizo ruksa kupiga chata ya rip
Kwahiyo lile jukwaa la wakenya huwa wanachat watu kutoka Kenya ipi mkuuNdio, Tena magharibi mwa nchi
Wengi wanatokea Nairobi na MombasaKwahiyo lile jukwaa la wakenya huwa wanachat watu kutoka Kenya ipi mkuu
Toa maoni mremboMhhhh
Hahaha unaogopa njoo kwangu unaweza ukawa karibu na marehemu ukaleta taarifa hapaMnaongea mambo gani haya na giza lote hili
Sana ila yote ni sababu na feelInafikirisha
Ninajua mwenyewe ninachojihisi moyoniSio lazima ufe[emoji1]
Hakuna anaye nijuaUkiona wako kimya jua wapo hai
Ukifa tutajua tuu kwani hamna siri duniani na RIP itaandikwa
We jiongopee tuHakuna anaye nijua
Baada ya kubadili simu alishindwa kukumbuka email yake na kwa bakhti mbaya wengi wetu tunajua login tu huwa hatulogout hii inapelekea kusahau namba ya sirHivi yupo wapi yule member BAK
Vipi unahisi kuna israel mtoa roho anakunyemelea!?[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]Ninajua mwenyewe ninachojihisi moyoni
Naomba tulale tutaongea keshoVipi unahisi kuna israel mtoa roho anakunyemelea!?[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]
Tupe namba ya mke wako ukipote tunampigia s
Utakuwa "umekufa na kuoza" kimahaba au ndiyo the last safari to Pagak?😂Mkiona imepita mwezi mmoja hamnioni humu mjue nimekufa
Unakikimbilia kifo jitahidi usifumbe macho ukilala[emoji16] ,au tukupe muda gani tusipokuona active tuandike rip?Naomba tulale tutaongea kesho
pamoja na kuishi miji mingi mingi ila sijawahi kutana na mtu anatumia jf.Sehemu ninakoishi nadhani Ni Mimi pekee ndo member wa JF, wengine wote hata hawajui Kama Kuna mtandao unaoitwa Jamiiforums😂
Kwa siku nikifa Hakuna atakayekuja kutoa taarifa.
Mm sijulikani even kaka angu ni mdau humu...Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi?
Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara
Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo
Binafsi sina ila ndio hvyo tunasonga
ni vyema ikawepo button ya kudelete akaunti.Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi?
Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara
Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo
Binafsi sina ila ndio hvyo tunasonga
Nipe namba yako nikifa nitakujulishaUnakikimbilia kifo jitahidi usifumbe macho ukilala[emoji16] ,au tukupe muda gani tusipokuona active tuandike rip?
Haina haja mfano mm kabla sijajiunga nilikua nilitaka information zozote....ni vyema ikawepo button ya kudelete akaunti.