Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

Haina haja mfano mm kabla sijajiunga nilikua nilitaka information zozote....
Naandika heading mbele naweka jamii forum
Asikwambie mtu Kila topic zipo zinasaidia sana jamii......
Haina haja ya ku delete account in my side...
uzi unahusu marehemu. kwa mfano ukifa au ukiwa terminally ill, kwa nini isiwepo option ya kufuta akaunti yako?
 
uzi unahusu marehemu. kwa mfano ukifa au ukiwa terminally ill, kwa nini isiwepo option ya kufuta akaunti yako?
Kufuta Ili iweje mkuu, kwaio unataka michango yako ya mijadala kwakua umekufa na yenyewe ife??

😊😊😊😊
 
Mkuu futa hapo kwenye Binadamu Mtakatifu
Isomeke
Gily

Mkuu umebadili jina au naifananisha avatar yako....
Nakusalimia 🀚
 
Nikweli nimewaza mbali th
 
Mkuu kuandikwa RIP hakuzuii wala kukupeleka mbinguni. Ukikaa kimya zaidi ya miaka miwili sisi tunahesabu kuwa ushakufa
Nilikuwa na pitia baadhi ya Id last seen 2017/2020 yani roho inauma kuona bado hawatambuliki kuwa wameamua kuacha kutumia au ndio kwaheri
Ujue ukiona RIP huwezi mtafuta hata kama ukiona kuwa aliandika comment yenye kuonesha inaweza kuwa na msaada
 
Miki nawajua member saba humu so wataleta taarifa tu au mi kuleta taarifa zao humu siku wakirudisha namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…