Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

Haina haja mfano mm kabla sijajiunga nilikua nilitaka information zozote....
Naandika heading mbele naweka jamii forum
Asikwambie mtu Kila topic zipo zinasaidia sana jamii......
Haina haja ya ku delete account in my side...
uzi unahusu marehemu. kwa mfano ukifa au ukiwa terminally ill, kwa nini isiwepo option ya kufuta akaunti yako?
 
uzi unahusu marehemu. kwa mfano ukifa au ukiwa terminally ill, kwa nini isiwepo option ya kufuta akaunti yako?
Kufuta Ili iweje mkuu, kwaio unataka michango yako ya mijadala kwakua umekufa na yenyewe ife??

😊😊😊😊
 
Na hili ni pigo hapa JF kwa kumpoteza mwanachama huyu natumai wote tunamfahamu leadermoe Lengo si kukebehi taarifa zake za kifo ila nikujaribu kuweka uhalisia kulingana na hoja ya mleta madaa husika Binadamu Mtakatifu

TANZIA
Thread 'Kifo cha mwana JamiiForums mwenzetu Leadermoe, aliyesimulia story ya maisha yake "Wema ni akiba, usiache kutenda wema"'
TANZIA - Kifo cha mwana JamiiForums mwenzetu Leadermoe, aliyesimulia story ya maisha yake "Wema ni akiba, usiache kutenda wema"
Mkuu futa hapo kwenye Binadamu Mtakatifu
Isomeke
Gily

Mkuu umebadili jina au naifananisha avatar yako....
Nakusalimia 🤚
 
Na hili ni pigo hapa JF kwa kumpoteza mwanachama huyu natumai wote tunamfahamu leadermoe Lengo si kukebehi taarifa zake za kifo ila nikujaribu kuweka uhalisia kulingana na hoja ya mleta madaa husika Binadamu Mtakatifu

TANZIA
Thread 'Kifo cha mwana JamiiForums mwenzetu Leadermoe, aliyesimulia story ya maisha yake "Wema ni akiba, usiache kutenda wema"'
TANZIA - Kifo cha mwana JamiiForums mwenzetu Leadermoe, aliyesimulia story ya maisha yake "Wema ni akiba, usiache kutenda wema"
Nikweli nimewaza mbali th
 
Mkuu kuandikwa RIP hakuzuii wala kukupeleka mbinguni. Ukikaa kimya zaidi ya miaka miwili sisi tunahesabu kuwa ushakufa
Nilikuwa na pitia baadhi ya Id last seen 2017/2020 yani roho inauma kuona bado hawatambuliki kuwa wameamua kuacha kutumia au ndio kwaheri
Ujue ukiona RIP huwezi mtafuta hata kama ukiona kuwa aliandika comment yenye kuonesha inaweza kuwa na msaada
 
Mm sijulikani even kaka angu ni mdau humu...
Sijawai mwambia Id yangu humu for years yeye ni msomaji wa habari Huwa hachangii mijadala.......

Currently nimeanza ku socialize na watu hope nitakua hapa nyumbani Jf forever......[emoji4][emoji4][emoji4][emoji851][emoji851][emoji851]
Miki nawajua member saba humu so wataleta taarifa tu au mi kuleta taarifa zao humu siku wakirudisha namba
 
Back
Top Bottom