Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
uzi unahusu marehemu. kwa mfano ukifa au ukiwa terminally ill, kwa nini isiwepo option ya kufuta akaunti yako?Haina haja mfano mm kabla sijajiunga nilikua nilitaka information zozote....
Naandika heading mbele naweka jamii forum
Asikwambie mtu Kila topic zipo zinasaidia sana jamii......
Haina haja ya ku delete account in my side...