Je, Ukimya wa Rais Samia juu ya utekaji na kuwakemea/kuwatenga wanaokemea utekaji katika chama chake unaleta jibu kuwa anawajua watekaji?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Wadau kuhusu utekaji na watekaji, kuna mambo yanafikirisha sana kuhusu Rais Samia ukiyatafakari ,

Mosi, Sijawahi kumsikia Rais wetu , mahala popote akikemea masuala ya utekaji na watekaji

Pili, ni wazi kwamba Rais anachukizwa na wanaCCM ambao wanatoka msitari wa mbele kuhoji sakata la utekaji na watekaji, hapa kuna doughty, kwamba ni kwa nini iwe hivyo? Mfano mzuri ni hili sakata la askofu Gwajima, mtu anatoa ushauri then Rais anatoka anatoa lugha ya kumwondoa Askofu katika chama?! Kuna nini nyuma ya pazia?

Katika situations hizi ,je, Rais haoni kama anatoa mwangaza kwa jamii ya anaowaongoza kuwa kuna kitu kipo nyuma ya pazia?

Je, yeye ndiye yule mwanasiasa ambaye askofu alimzungumzia kuwa ana maslahi binafsi na kikundi hicho cha watekaji? Kwa nini imemuuma kiasi kile kias kwamba ameshindwa kuzuia hasira zilizotambulisha hisia zake katika hili?
 
1000037996.jpg
 
Jibu ni hili hapa kwenye aya yako ya mwisho.
 
Hata pesa zilizokutwa kwenye Account ya IGP wambura hajazikemea , ccm ya sasa imejaa ibirisi na ushetani mwingi
 
Yeye ndio anatoa amri za watu kuuwa unategemea atapendezwa na wanaozungumzia hayo masuala??? Watu wanafichua ufisadi anawaita sio wazalendo ??? No wonder ni mfupi kama uwezo wake wa kufikiri
Alibadiri za binti wa Uganda na wakenya waliopigwa na kubakwa zimemnasa sambamba na Laana toka kwa Lisu na familia za waliotekwa na kuuawa
 
Siyo anawajua,ni kwamba anawatuma wafanye kazi.
Ila hata aue wapinzani wote...hii ni kumbukumbu tosha kwake yenye uchungu kuwa kwenye uongozi wake hakuwahi pendwa kabisa....Kuna ile at least,sasa yeye ni kabisa...kumbukumbu yenye fedheha sana
 
Taifa letu linaangamia ,,,sijui tulikosea nini kwa Mungu....Samia hatufai hata kwa chembe.

Je wako wapi watu walio Wazalendo katika Taifa hili??Akili kubwa zikwapi ,mbona zinaburuzwa na huyu Zuzu???
 
Mimi huwa najiuliza , leo hii Nyerere akipewa nafasi ya kurudi kuitazama nchi yake aliyoidai uhuru wa wananchi wake akakuta watawala wamekuwa makaburu sijui atajiskiaje,? Ukifikir kwa nini tumefika huku, huoni sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom