Lifewithmuhasu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 231
- 438
Nashukuru sana dada yangu nitapambanaNazidi kukupenda...hongera zaidi!pambana mdogo wangu...urembo weka kando!...maisha ni rahisi Sana kwakweli .basi tu tumejifungia kwenye kijichumba kidg...tangaza matangazo yako hata insta ..na humu..wenyew uhitaji wa wadada ni wengi
Ndio imesajiliwa kabisaHii kampuni umeisajili. Haya mambo utayakuta nchi za wenzetu na ni business kubwa mno. Safi sana.
Safi sana.Ndio imesajiliwa kabisa
Ila ina direct Risk, vipi kwa Dar inaweza kufanyika, ukifanya kama kampuni inalipa kweli ??Sekta ya kaz za ndani kwa tz bado ni ipo chini sana japo ina soko kubwa sanaaa yan kwa anaetaka biashara nakushaur wekeza hapa yan hutojuta na makande aise biashara ina mtaj kidogo ila faida usipime atakae taka ushaur ani pm bila kinyongo nitamuelezea
Risk ndio mafanikio yenyeweIla ina direct Risk, vipi kwa Dar inaweza kufanyika, ukifanya kama kampuni inalipa kweli ??
Nipo mkoani iringa hi fursa nimeipenda ikiwa huku ndio wanapotokea kwawingi (nayo nikazi Kama kazi nyingine) VP naweza kuilink na majiji makubwa km dsm na dodoma Kama nikitaka kuanza?Risk ndio mafanikio yenyewe
BiashRa hii inafaa zaid dar mkuu nipm nitakupa namna nilivofanya na ninavofanya
0693886078 nitafute tujadiliNipo mkoani iringa hi fursa nimeipenda ikiwa huku ndio wanapotokea kwawingi (nayo nikazi Kama kazi nyingine) VP naweza kuilink na majiji makubwa km dsm na dodoma Kama nikitaka kuanza?
Am coming.Risk ndio mafanikio yenyewe
BiashRa hii inafaa zaid dar mkuu nipm nitakupa namna nilivofanya na ninavofanya
Wazo zuri unaweza fanya kama kampuni ya uyo Dada kwakushirikiana mkoani kwako ikawa kama branch Mkoa mwengine hivyohivyo mukaangalia muna oparate vipi.Nipo mkoani iringa hi fursa nimeipenda ikiwa huku ndio wanapotokea kwawingi (nayo nikazi Kama kazi nyingine) VP naweza kuilink na majiji makubwa km dsm na dodoma Kama nikitaka kuanza?
Kwahiyo pesa ningekua nanunua vitanda 5*6 used kwabei ya Corona iringa mjini Happ hata 50,000 unapata then ningekua navifanyia decoration kdg Kisha navishafirisha mpj dodona ambapo kitanda kimoja ningeuza sio chini ya 150,000 nikitia na usafiri let say 15000 kilikotoka mpaka showroom yakuuzia nusingekosa faida 50,000-85,000 kwakitanda kimoja....watu wananarejesho wengine huweja vitu poni nahuuzwa kea Bei ndoto Sana nitajikita kufanya hi kitu sio muda nahitaji km laki tano kwakuanzia
Uhakika upo mm ninataarifa sahihi vitano vinapatikana kabisa,Samahani....kwamba unahakika gani wa kupata hivyo vitanda kwa Bei hiyo? He una hakika kupata hata vitanda 5 kwa mkupuo?
Ninsuhakika nipo kwenye magrouo yakuuza na kununua afu kunamitaa huwanatembelea wamama wanamajesho anaweza Hadi hurumaSamahani....kwamba unahakika gani wa kupata hivyo vitanda kwa Bei hiyo? He una hakika kupata hata vitanda 5 kwa mkupuo?
Yes nkama za ulinziWazo zuri unaweza fanya kama kampuni ya uyo Dada kwakushirikiana mkoani kwako ikawa kama branch Mkoa mwengine hivyohivyo mukaangalia muna oparate vipi.
Nimefikiri kama kampuni ya ulinzi tu.
Sawa sawa mkuu...kila la heriNinsuhakika nipo kwenye magrouo yakuuza na kununua afu kunamitaa huwanatembelea wamama wanamajesho anaweza Hadi huruma
Nikweli ngoja nijifunze kitu kutoka kwake huyu ni potential partnerWazo zuri unaweza fanya kama kampuni ya uyo Dada kwakushirikiana mkoani kwako ikawa kama branch Mkoa mwengine hivyohivyo mukaangalia muna oparate vipi.
Nimefikiri kama kampuni ya ulinzi tu.
AsanteSawa sawa mkuu...kila la heri