Je, ukipewa shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?

Kwahiyo pesa ningekua nanunua vitanda 5*6 used kwabei ya Corona iringa mjini Happ hata 50,000 unapata then ningekua navifanyia decoration kdg Kisha navishafirisha mpj dodona ambapo kitanda kimoja ningeuza sio chini ya 150,000 nikitia na usafiri let say 15000 kilikotoka mpaka showroom yakuuzia nusingekosa faida 50,000-85,000 kwakitanda kimoja....watu wananarejesho wengine huweja vitu poni nahuuzwa kea Bei ndoto Sana nitajikita kufanya hi kitu sio muda nahitaji km laki tano kwakuanzia
 
Sekta ya kaz za ndani kwa tz bado ni ipo chini sana japo ina soko kubwa sanaaa yan kwa anaetaka biashara nakushaur wekeza hapa yan hutojuta na makande aise biashara ina mtaj kidogo ila faida usipime atakae taka ushaur ani pm bila kinyongo nitamuelezea
Ila ina direct Risk, vipi kwa Dar inaweza kufanyika, ukifanya kama kampuni inalipa kweli ??
 
Nipo mkoani iringa hi fursa nimeipenda ikiwa huku ndio wanapotokea kwawingi (nayo nikazi Kama kazi nyingine) VP naweza kuilink na majiji makubwa km dsm na dodoma Kama nikitaka kuanza?
Wazo zuri unaweza fanya kama kampuni ya uyo Dada kwakushirikiana mkoani kwako ikawa kama branch Mkoa mwengine hivyohivyo mukaangalia muna oparate vipi.

Nimefikiri kama kampuni ya ulinzi tu.
 
Kwahiyo pesa ningekua nanunua vitanda 5*6 used kwabei ya Corona iringa mjini Happ hata 50,000 unapata then ningekua navifanyia decoration kdg Kisha navishafirisha mpj dodona ambapo kitanda kimoja ningeuza sio chini ya 150,000 nikitia na usafiri let say 15000 kilikotoka mpaka showroom yakuuzia nusingekosa faida 50,000-85,000 kwakitanda kimoja....watu wananarejesho wengine huweja vitu poni nahuuzwa kea Bei ndoto Sana nitajikita kufanya hi kitu sio muda nahitaji km laki tano kwakuanzia

Samahani....kwamba unahakika gani wa kupata hivyo vitanda kwa Bei hiyo? He una hakika kupata hata vitanda 5 kwa mkupuo?
 
Wazo zuri unaweza fanya kama kampuni ya uyo Dada kwakushirikiana mkoani kwako ikawa kama branch Mkoa mwengine hivyohivyo mukaangalia muna oparate vipi.

Nimefikiri kama kampuni ya ulinzi tu.
Nikweli ngoja nijifunze kitu kutoka kwake huyu ni potential partner
 
Back
Top Bottom