Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

Pro Biznesi

Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
9
Reaction score
10
Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
 
Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
Hapana hukatwi kodi. Ila utakatea pesa ya transfer na landing mfano mara nyingi wire transfer hujumuisha $20 kama makato pia inaweza kuwepo landing fee ya bank yako
 
Tupate kujua kutuma na kupokea pesa kwa ujumla
 
Western Union or MoneyGram rate zao zinakuwa ziko chini so itapungua kidogo kwa sababu utapokea Hela ya kitanzania. Hapo wanabadilisha Hela so unaweza pata imeongezeka au imepungua kidogo. Ila mtumaji lazim akatwe huko kwao. .
 
Back
Top Bottom