Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,794 Reaction score 5,352 Jun 16, 2021 #41 Krav Maga said: Kuna Watu mna Akili sana hapa JamiiForums hadi raha. Ndugu hii Mbinu yako nimeipenda na kuikubali pia nitaanza rasmi Kuitumia na naamini itasaidia. Click to expand... Tena weka nyimbo zile za capten john komba enzza msiba wa nyerere
Krav Maga said: Kuna Watu mna Akili sana hapa JamiiForums hadi raha. Ndugu hii Mbinu yako nimeipenda na kuikubali pia nitaanza rasmi Kuitumia na naamini itasaidia. Click to expand... Tena weka nyimbo zile za capten john komba enzza msiba wa nyerere
K kakamina JF-Expert Member Joined May 23, 2021 Posts 453 Reaction score 535 Jun 18, 2021 #42 TheChoji said: Mkuu we huwajui wadada wa siku izi. Jamaa akianza kumtania tania ivyo utashangaa anamla [emoji23] Click to expand... Najua atataka kujua Kwa nn ananiambi hivyo Ndiyo sasa taarifa rasmi zinamfikia aaaah kumbe [emoji23]
TheChoji said: Mkuu we huwajui wadada wa siku izi. Jamaa akianza kumtania tania ivyo utashangaa anamla [emoji23] Click to expand... Najua atataka kujua Kwa nn ananiambi hivyo Ndiyo sasa taarifa rasmi zinamfikia aaaah kumbe [emoji23]