Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

Kuna Watu mna Akili sana hapa JamiiForums hadi raha. Ndugu hii Mbinu yako nimeipenda na kuikubali pia nitaanza rasmi Kuitumia na naamini itasaidia.
Tena weka nyimbo zile za capten john komba enzza msiba wa nyerere
 
Mkuu we huwajui wadada wa siku izi. Jamaa akianza kumtania tania ivyo utashangaa anamla [emoji23]
Najua atataka kujua Kwa nn ananiambi hivyo

Ndiyo sasa taarifa rasmi zinamfikia aaaah kumbe

[emoji23]
 
Back
Top Bottom