under timer
JF-Expert Member
- Dec 25, 2021
- 389
- 595
utazikwa kimyakimya bila ibada ya mazishi ya diniHabari?
Ni wazi mazishi mengi hapa tz yanaitimishwa chini ya dini mbalimbali hata km mhusika alikuwa sio mshirika mzuri basi inaundwa michongoko ili kumlinda na atimaye azikwe kwa iman fulani
Je yule asie na imani ya kidini hata kidogo akifa ni nan husimamia ilo,
Binafsi sijawahi kuona mazishi ya raia wa kawaida yakiendeshwa na serikali hata ya mtaa
Ndio huzikwa mkuu!Kule kwetu Mbeya Miaka ya 1988,Nikiwa huko, Tukuyu chifu alifariki ,alizikwa vizuri sana Tena Ngoma zilialikwa Toka Sehemu mbalimbali za mkoa huohuo,kwa kilugha tunaita Lingoma,lipenenga,magosi na kibhota.Habari?
Ni wazi mazishi mengi hapa tz yanaitimishwa chini ya dini mbalimbali hata km mhusika alikuwa sio mshirika mzuri basi inaundwa michongoko ili kumlinda na atimaye azikwe kwa iman fulani
Je yule asie na imani ya kidini hata kidogo akifa ni nan husimamia ilo,
Binafsi sijawahi kuona mazishi ya raia wa kawaida yakiendeshwa na serikali hata ya mtaa
Unazikwa tu.Habari?

Kuna Yule jàmaa aliua mke na watoto wanñe alizikwa kibabe, maana vijana walibeba jeneza lake wakatimua mbio likawaponyoka likadondoka mwili ukatoka wakaurudisha ndani. Kufika kaburini wakatupia jeneza ndani wakafukia. Mazishi tayari.Habari?
Ni wazi mazishi mengi hapa tz yanaitimishwa chini ya dini mbalimbali hata km mhusika alikuwa sio mshirika mzuri basi inaundwa michongoko ili kumlinda na atimaye azikwe kwa iman fulani
Je yule asie na imani ya kidini hata kidogo akifa ni nan husimamia ilo,
Binafsi sijawahi kuona mazishi ya raia wa kawaida yakiendeshwa na serikali hata ya mtaa
kuna mtu alijifia kichakani, shughuli pevu ikawa ni kutafuta ndugu zake, suluhisho ikawa ni jina lake liliakisi dini gani? Wakaona ni uislam. Fasta akazikwa kwa dini ya kiislamIla nimeona watu wengi ambao walikuwa hawaendi knisani /msikitini huwa wanaangalia jina na imani za wazazi wako then anaitwa sheikh au mchungaji unazikwa.
🤗🤗🤔 inafikirisha Sana mkuukuna mtu alijifia kichakani, shughuli pevu ikawa ni kutafuta ndugu zake, suluhisho ikawa ni jina lake liliakisi dini gani? Wakaona ni uislam. Fasta akazikwa kwa dini ya kiislam
Yote NI Yale Yale, hizi DINI zimeshawaharibu akiliUnafukiwa
SahihiUnazikwa tu.
Ukiwasikiliza watu wengi, wanaensa kansani kwa hoja nikifa sitozikwa sio kwamba wanamwoga Mungu wanaenda kumwabudi. They just want to be a part of the community.
Kwani huwezi kufanyia ibada ya mazishi kiumbe? Maandiko yanasema binadamu Hana Cha kumzidi Mnyama anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa yule.Kuna kuzikwa na kufukia ..
Kuzikwa ni ibada na kufukiwa ni kama kuku mzoga anachimbiwa shimo na kuwekwa humo.