Je ukiwa mpagani, siku ukifa hauzikwi?

Je ukiwa mpagani, siku ukifa hauzikwi?

Habari?
Ni wazi mazishi mengi hapa tz yanaitimishwa chini ya dini mbalimbali hata km mhusika alikuwa sio mshirika mzuri basi inaundwa michongoko ili kumlinda na atimaye azikwe kwa iman fulani
Je yule asie na imani ya kidini hata kidogo akifa ni nan husimamia ilo,
Binafsi sijawahi kuona mazishi ya raia wa kawaida yakiendeshwa na serikali hata ya mtaa
Who said nani ambaye hakuzikwa what if hao wanaokusalia ndo ukawa kuta Motoni
 
Habari?
Ni wazi mazishi mengi hapa tz yanaitimishwa chini ya dini mbalimbali hata km mhusika alikuwa sio mshirika mzuri basi inaundwa michongoko ili kumlinda na atimaye azikwe kwa iman fulani
Je yule asie na imani ya kidini hata kidogo akifa ni nan husimamia ilo,
Binafsi sijawahi kuona mazishi ya raia wa kawaida yakiendeshwa na serikali hata ya mtaa

Kwani hata usipozikwa kuna tatizo gani kwako?
 
Kwani hata usipozikwa kuna tatizo gani kwako?
Hamna tatizo
Mi bwana nachukia sana unafki wa binadamu.ukiwa hai hakuheahimu,dharau matusi,mara kakuzushia hili mara akufanyie fujo.
Siku ukifa wanahangaika oh azikwe Kwa heshima,heshima za mwisho,mara tumuombee heri.
Umekufa umelala ndani huna hata chakula na dawa ila masaa machache ukifa watu watakula na kusaza.
Ndio dunia
hao ndio binadamu
 
Back
Top Bottom