Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

AlphaMale_

Senior Member
Joined
Aug 12, 2023
Posts
182
Reaction score
455
Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?

335DD8B4-49DF-4C4A-A91A-5C1BEEE57AE8.jpeg
 
Wanawake huwa na bahati sana katika betting

Ila huwa naogopa sana kuona mwanamke anapenda kufanya mambo ya wanaume maana akija kuwa addicted huwa wanapitiliza zaidi ya wanaume,akikosa hela atajiuza hata kwa buku 5 ili abeti
 
Mna complicate sana maisha, mnakuwa kama watu ambao mmetoka vijijini leo!?,hakuna kitu kilichopo mtandaoni ambacho ni Kwa ajili ya jinsia fulani. Kwa taarifa yako wapo wadada wengi sana wanabeti online na wanapiga ela balaa. Tatizo mmezoea kwenda kwenye mabanda ya kubeti huko sio wengi, wengi wapo online na wana mitaji hadi milioni mbili na zaidi. Namjua mmoja wakishua kila wiki anaingiza zaidi ya laki 5 na hafanyi kazi nyingine yeye ni laptop tu kaunganisha na TV kubwa. Kudanga na kubeti bora nini!?, Acheni kuishi kwa kukariri..
 
Back
Top Bottom