Mna complicate sana maisha, mnakuwa kama watu ambao mmetoka vijijini leo!?,hakuna kitu kilichopo mtandaoni ambacho ni Kwa ajili ya jinsia fulani. Kwa taarifa yako wapo wadada wengi sana wanabeti online na wanapiga ela balaa. Tatizo mmezoea kwenda kwenye mabanda ya kubeti huko sio wengi, wengi wapo online na wana mitaji hadi milioni mbili na zaidi. Namjua mmoja wakishua kila wiki anaingiza zaidi ya laki 5 na hafanyi kazi nyingine yeye ni laptop tu kaunganisha na TV kubwa. Kudanga na kubeti bora nini!?, Acheni kuishi kwa kukariri..