Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Na kifurushi kipya cha ardhini kinapelekwa soon hapo Ukraine. Watu watatema ndoano balaa.
 
Zilipopelekwa HIMARS walisema HIMARS haziwezi kukomboa hata eka moja ya ardhi ilotekwa. Lakini ukweli ukawa ni hivi baada ya HIMARS kuanza kazi Ukraine.

1. Snake Island ikatapikwa.
2. Kharkiv ikatapikwa.
3. Kherson pia kwa sehemu kubwa ilotekwa ikataoikwa.

Kubwa zaidi ya yote, toka huyu mnyama aingie kazini, hakuja archievement yoyote Russia aliyofanya. Licha ya kuwepo kwa makumi ya HIMARS huko Ukraine. Russia hajafanikiwa kuipasua hata moja.
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Umeanza lini kufatilia hii vita? NATO walishasema, lengo lao ni kufanya vita vichukue muda mrefu, sasa unataka wapeleke silaha za kumaliza vita hivi karibuni ili iweje? Mwezi march vita ikiwa bado mbichi kabisa, NATO haikutenga bajeti ya kuifadhili Ukraine kwa miaka mitano dhidhi ya Russia?
 
Kwa mtizamo wangu. Wazungu wa west mwanzo wa vita wao walimsoma kwanza mrusia then Ndio wanamlegeza taratibu na hii vita imekuwa ngumu Kwa Russia coz western wanapata information nyingi za vita kutoka Russia kwenyewe coz kuna watu wengi ndani ya Russia hawakubalian na hii vita ya Putin. So mipango yote ya Russia ipo mikononi mwa spy wa western. Na jamaa wako Smart sana so wanacheza nae mpaka alegee. Sema nilivyowaona wa West ni kama hawamuoni tena Russia kama tishio washamsoma. Ila kwasasa tishio lao ni China na Ndio walikuwa wanamtafuta pale Taiwan mchina akastuka.
 
Hayati Nyerere alikosea saaana kutufungamanisha na nchi za kijamaa.
Kwa kipindi kile Nchi za Ujamaa ndio zilikua zinasaidia sana kuhusu kupata Uhuru kumbuka mabepari walikua ndio watawala ilikua inatakiwa nguvu ingine isadie sema ilitakiwa baada ya Uhuru wangetafakali mfumo mzuri zaidi..
 
Kwani alikuwa hajui???
Ushindi vitani unategemēa, uchumi, watu, silaha...
Mkuu ni hivi Ukraine ni ndogo Kwa kilakitu dhidi ya Russia kuanzia kijeshi,silaha na uchumi ndiyo maana Russia amefanya atakalo Kwa Ukraine ikiwemo kuimega baadhi ya majimbo Kwa miaka mingi Huko nyuma na ulaya ilikaa kimya wakiangalia Tu..baada ya PUTIN kunogewa na utemi wake akapanga kuiteka Ukraine yote na kumwondoa zelensky madarakani hapa ndipo ulaya na marekani wakagoma kumbuka Kwa unyonge wa Ukraine wakaomba msaada ili kumwondoa adui kwenye ardhi Yao SASA ndiyo maana UNASHIHUDIA haya yanayotokea hata PUTIN mwenyewe haamini kinachomkuta...
Putin anagipana ulaya yote sio Ukraine pekeyake
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Kumbe hujui kinatafutwa kichwa cha dingi
 
Wavamizi wajipange.
 
Putin hiivita atashinda. Putin naye hataki hii vita ìishe haraka nayè anataka kuachosha west. Mpaka sasa hivi west wametuma silaha nyingi sana ila matokeo ni madogo sana na putin anazidi kuatwanga tu . Urusi siyo kwamba hana silaha za kisasa za kuimaliza vita nooo.anazo nyingi tu na ndiyo maana anajifanya dhaifu. Unajua wengi hawafahamu kwamba urusi alifanýa maandalizi ya muda mrefu sana kuhusu vita hii alishajipanga kila idara .alijua kama vikwazo vya pesa atawekewa na vinginevyo na ndiyo maana havijamwumìza kabisa. Wala hababaiki zaidi west ndiyo wanapata shida. Na majuzi tumesikia makombora ya hypasonic yaanze kutumika rasmi tusubiri . Yana uwezo wa kubeba vichwa nuklia ya kilo 500. Yana spidi kuliko sauti. Kwamaana hiyo ana uwezo wakupiga inch tano ndani ya dk 5 .ni inch ngapi wanayo hayo makombora ndani ya Nato?
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Kwa kuwa vita inaendelea ataendelea kupelekewa siraha mpaka watakapositisha...Ukraine hatengenezi siraha na ni mdogo kwa Mrusi ila kwa mazingira hayo Mrusi anaonekana underdog tuu...
 
Timu NATO wasipokuelewa hapa nitashangaa!!!
 
Jibu langu ni kama ifuatavyo kulingana na mtiririko wa point zako:
1: Napingana na wewe, ingekua hawaigopi Russia mpk mda huu tunaongea NATO wangekua waneisambaza Russia wakiongozwa na US ila hilo halijatokea badala yake wanaisaidia Ukraine (wanapigana na Russia indirect kwa kuwatumia Ukraine).

2: Nasisitiza hata Russia akiamua kutumia Nyuklia pale Ukraine US,NATO kamwe hawataweza kumshambulia Russia direct kwa namna yoyote ile jaribio lolote lile la kufanya hivyo ni WW3 jambo ambalo hawewezi kua tayari litokee hasa(hasa US)

3; Nakubaliana na wewe ni EU ni vigumu kumpinga US (baba yao) lakini nasisitiza EU hawatokubali ulaya itumike kama uwanja wa vita mara nyingine tena (rejea madhara ya WW2 kwa ulaya) hivyo basi ikitokea vita vya moja kwa moja na urusi bara la ulaya litachakwazwa vibaya mno mana ni itakua ni vita vya teknolojia na nyuklia.

Nawasilisha.
 
Russia Hana silaha za kupigana na Bradley? Kweli kabisa boss?
ATGM kazi yake Nini?
Kornet Atgm isikilizie bombani tu.
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Jana nilisoma chapisho la magharibi wakilalamika kwamba Ukraine imeanza kuwa 8kero - yaani wakipewa silaha wanazo pendekeza itamaanisha: Ujerumani,Ufaransa,Italy,Uingereza maghara yao yayaishiwa silaha, na Amerika iliwahi kulalamikia upelekaji holela wa silaha zake huko Ukraine,wakasema nyingi zinaishia kweye black Market!!
 
Kwa kipindi kile Nchi za Ujamaa ndio zilikua zinasaidia sana kuhusu kupata Uhuru kumbuka mabepari walikua ndio watawala ilikua inatakiwa nguvu ingine isadie sema ilitakiwa baada ya Uhuru wangetafakali mfumo mzuri zaidi..
Ana miaka mingapi?wengine ni mashabiki tu.Na msisahau vita bado inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…