Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Russia inapigana vita huku imefungwa kamba za mikono Kwa economic sanctions ebu angalia jinsi zile mali na fedha za oligarchy zipo freeze na pesa zote zinaenda Ukraine...vita hii huitaji degree bachelor kujua kuwa Russia anapigana na upepo Tu na hawezi kushinda.
Russia agepata ushindi kama angekuwa anapigana na nchi za Asia au Africa lkn Kwa nchi za ulaya hiyo haitatokea kamwe.

Bila msaada wa westerners hii vita ingeisha ndani ya wiki 3 mpaka kuiteka Kiev Ukraine ndiyo maana tunaona bado Hali ngumu Kwa upande wa Russia hakuna achievement yeyote mpaka SASA zaidi ya kupoteza maisha ya Askari wake, winter season ilivyoanza watu walisema Ukraine inaenda kufa Kwa baridi na ulaya nzima lkn mpaka Leo watu wanasonga mbele tu
Na kifurushi kipya cha ardhini kinapelekwa soon hapo Ukraine. Watu watatema ndoano balaa.
 
Russia ni mkubwa sana ila mazingira ya vita sio rahisi kwake maana hao mabeberu wanatuma siraha na wanajeshi wa kutumia hizo siraha kwa siri maana siraha nyingi zipo kwa Lugha zao ili kurahisisha mara leo usikie Zelenskyy yupo USA wakiteta baadae utasiki sijui Vikwazo wameongeza mara wamekamata hiki kila siraha ambayo wanayo wanaipeleka kwa majaribio UKraine nin ngumu sana kwa Mrusi hata wapigane miaka mitano...
Zilipopelekwa HIMARS walisema HIMARS haziwezi kukomboa hata eka moja ya ardhi ilotekwa. Lakini ukweli ukawa ni hivi baada ya HIMARS kuanza kazi Ukraine.

1. Snake Island ikatapikwa.
2. Kharkiv ikatapikwa.
3. Kherson pia kwa sehemu kubwa ilotekwa ikataoikwa.

Kubwa zaidi ya yote, toka huyu mnyama aingie kazini, hakuja archievement yoyote Russia aliyofanya. Licha ya kuwepo kwa makumi ya HIMARS huko Ukraine. Russia hajafanikiwa kuipasua hata moja.
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Umeanza lini kufatilia hii vita? NATO walishasema, lengo lao ni kufanya vita vichukue muda mrefu, sasa unataka wapeleke silaha za kumaliza vita hivi karibuni ili iweje? Mwezi march vita ikiwa bado mbichi kabisa, NATO haikutenga bajeti ya kuifadhili Ukraine kwa miaka mitano dhidhi ya Russia?
 
Kwa mtizamo wangu. Wazungu wa west mwanzo wa vita wao walimsoma kwanza mrusia then Ndio wanamlegeza taratibu na hii vita imekuwa ngumu Kwa Russia coz western wanapata information nyingi za vita kutoka Russia kwenyewe coz kuna watu wengi ndani ya Russia hawakubalian na hii vita ya Putin. So mipango yote ya Russia ipo mikononi mwa spy wa western. Na jamaa wako Smart sana so wanacheza nae mpaka alegee. Sema nilivyowaona wa West ni kama hawamuoni tena Russia kama tishio washamsoma. Ila kwasasa tishio lao ni China na Ndio walikuwa wanamtafuta pale Taiwan mchina akastuka.
 
Kwani alikuwa hajui???
Ushindi vitani unategemēa, uchumi, watu, silaha...
Mkuu ni hivi Ukraine ni ndogo Kwa kilakitu dhidi ya Russia kuanzia kijeshi,silaha na uchumi ndiyo maana Russia amefanya atakalo Kwa Ukraine ikiwemo kuimega baadhi ya majimbo Kwa miaka mingi Huko nyuma na ulaya ilikaa kimya wakiangalia Tu..baada ya PUTIN kunogewa na utemi wake akapanga kuiteka Ukraine yote na kumwondoa zelensky madarakani hapa ndipo ulaya na marekani wakagoma kumbuka Kwa unyonge wa Ukraine wakaomba msaada ili kumwondoa adui kwenye ardhi Yao SASA ndiyo maana UNASHIHUDIA haya yanayotokea hata PUTIN mwenyewe haamini kinachomkuta...
Putin anagipana ulaya yote sio Ukraine pekeyake
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Kumbe hujui kinatafutwa kichwa cha dingi
 
Na hakuna chochote ambacho Warusi wanaweza kufanya juu yake. Hawana njia za kukabiliana na aina hii ya mashambulizi. Wanachoweza kufanya ni kutumaini kwamba Wamarekani na Wajerumani hawataamua kutoa mizinga yao ya kisasa ya Vita Kuu (Abrams na Leopard 2) kwa Ukraine. Hili likitokea, nisingependa kuwa mmoja wa wanajeshi wa uru
Wavamizi wajipange.
 
Putin hiivita atashinda. Putin naye hataki hii vita ìishe haraka nayè anataka kuachosha west. Mpaka sasa hivi west wametuma silaha nyingi sana ila matokeo ni madogo sana na putin anazidi kuatwanga tu . Urusi siyo kwamba hana silaha za kisasa za kuimaliza vita nooo.anazo nyingi tu na ndiyo maana anajifanya dhaifu. Unajua wengi hawafahamu kwamba urusi alifanýa maandalizi ya muda mrefu sana kuhusu vita hii alishajipanga kila idara .alijua kama vikwazo vya pesa atawekewa na vinginevyo na ndiyo maana havijamwumìza kabisa. Wala hababaiki zaidi west ndiyo wanapata shida. Na majuzi tumesikia makombora ya hypasonic yaanze kutumika rasmi tusubiri . Yana uwezo wa kubeba vichwa nuklia ya kilo 500. Yana spidi kuliko sauti. Kwamaana hiyo ana uwezo wakupiga inch tano ndani ya dk 5 .ni inch ngapi wanayo hayo makombora ndani ya Nato?
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Kwa kuwa vita inaendelea ataendelea kupelekewa siraha mpaka watakapositisha...Ukraine hatengenezi siraha na ni mdogo kwa Mrusi ila kwa mazingira hayo Mrusi anaonekana underdog tuu...
 
Putin hiivita atashinda. Putin naye hataki hii vita ìishe haraka nayè anataka kuachosha west. Mpaka sasa hivi west wametuma silaha nyingi sana ila matokeo ni madogo sana na putin anazidi kuatwanga tu . Urusi siyo kwamba hana silaha za kisasa za kuimaliza vita nooo.anazo nyingi tu na ndiyo maana anajifanya dhaifu. Unajua wengi hawafahamu kwamba urusi alifanýa maandalizi ya muda mrefu sana kuhusu vita hii alishajipanga kila idara .alijua kama vikwazo vya pesa atawekewa na vinginevyo na ndiyo maana havijamwumìza kabisa. Wala hababaiki zaidi west ndiyo wanapata shida. Na majuzi tumesikia makombora ya hypasonic yaanze kutumika rasmi tusubiri . Yana uwezo wa kubeba vichwa nuklia ya kilo 500. Yana spidi kuliko sauti. Kwamaana hiyo ana uwezo wakupiga inch tano ndani ya dk 5 .ni inch ngapi wanayo hayo makombora ndani ya Nato?
Timu NATO wasipokuelewa hapa nitashangaa!!!
 
Napingana na wewe aisee kuhusu EU, kwanini

1. Nchi za magharibi haiiogopi Russia kama vile ambavyo mwanzo tulivyokuwa tukiamini, na hii inatokana pale nchi za magharibi kuisaidia Ukraine licha ya putin kutoa mkwara mzito kwa atakayemsaidia Ukraine. Je, nchi za magharibi hazitoi misaada, tena kwa kujitangaza kabisa? Kuna hatua Russia amechukua kama alivyosema?

2. UK alishasema kuwa, endapo Putin akaendelea na vitisho vya Nuclear, UK iko tayari kupeleka silaha za Nuclear Poland. Mpaka muda huu ninaamini nchi za NATO zilizo jirani na Russia zitakuwa zimehifadhi hizo nuclear, putin aliviziwa, nae akaingia kwenye 18 huku akijiaminisha hakuna mbabe zaidi yake.

3. EU ni ngumu sana kukiuka matakwa ya US sababu ndie baba yao, uchumi wao upo hapo kutokana na US after WW II. Unajua watu tunaichukulia simple sana US, hasa huku Afrika. US ni kitu kingine in terms of military, tecs, science, economic etc
Jibu langu ni kama ifuatavyo kulingana na mtiririko wa point zako:
1: Napingana na wewe, ingekua hawaigopi Russia mpk mda huu tunaongea NATO wangekua waneisambaza Russia wakiongozwa na US ila hilo halijatokea badala yake wanaisaidia Ukraine (wanapigana na Russia indirect kwa kuwatumia Ukraine).

2: Nasisitiza hata Russia akiamua kutumia Nyuklia pale Ukraine US,NATO kamwe hawataweza kumshambulia Russia direct kwa namna yoyote ile jaribio lolote lile la kufanya hivyo ni WW3 jambo ambalo hawewezi kua tayari litokee hasa(hasa US)

3; Nakubaliana na wewe ni EU ni vigumu kumpinga US (baba yao) lakini nasisitiza EU hawatokubali ulaya itumike kama uwanja wa vita mara nyingine tena (rejea madhara ya WW2 kwa ulaya) hivyo basi ikitokea vita vya moja kwa moja na urusi bara la ulaya litachakwazwa vibaya mno mana ni itakua ni vita vya teknolojia na nyuklia.

Nawasilisha.
 
Mkuu naona unapingana na takwimu na mafanikio anayoyapata Ukraine kila baada ya kupokea msaada wa kifurushi cha aina flani kinachowawezesha wanajeshi wa Ukraine waadvance kwenye uwanja wa vita.

Kifushi hiki sasa kitawawezesha wanajeshi wa Ukraine kuingia mtaa kwa mtaa wakifanya mashambukizi ya face to face na wanajeshi wa Urusi and probably Urusi hana siraha za kukabiliana na bradleys IFV's
Ngoja tuone maana lengo la kuiprolong vita naona linafanikiwa sana.
Russia Hana silaha za kupigana na Bradley? Kweli kabisa boss?
ATGM kazi yake Nini?
Kornet Atgm isikilizie bombani tu.
 
Hii ni mara ya ngapi Ukraine wanapelekewa silaha. Tena tukiamini kuwa ni silaha nzito zinazokwenda kumaliza kazi lakini tunaona vita bado inapigwa.
Hata hizo silaha pia mwisho wa siku itaonekana zinapwaya hivyo wapatiwe nyingine
Jana nilisoma chapisho la magharibi wakilalamika kwamba Ukraine imeanza kuwa 8kero - yaani wakipewa silaha wanazo pendekeza itamaanisha: Ujerumani,Ufaransa,Italy,Uingereza maghara yao yayaishiwa silaha, na Amerika iliwahi kulalamikia upelekaji holela wa silaha zake huko Ukraine,wakasema nyingi zinaishia kweye black Market!!
 
Kwa kipindi kile Nchi za Ujamaa ndio zilikua zinasaidia sana kuhusu kupata Uhuru kumbuka mabepari walikua ndio watawala ilikua inatakiwa nguvu ingine isadie sema ilitakiwa baada ya Uhuru wangetafakali mfumo mzuri zaidi..
Ana miaka mingapi?wengine ni mashabiki tu.Na msisahau vita bado inaendelea.
 
Back
Top Bottom