Je, ukubwa uliopitiliza wa Grigori Angels pamoja na maumbo ya ajabu ajabu ya Malaika siyo matokeo ya Evolution iliyotokana na hali ya hewa ya huko?

Utaweka bandiko lakini bado halitakidhi matakwa kumaliza utata katika maandishi ya dini ambayo yameandikwa kimafumbo zaidi kuliko uhalisia
Ni ngumu kabisa kukubaliana. Na sitakubali kwa sababu kuu moja. Dini zote zinazoongelea malaika hasa ukristo na uislamu, zinaonyesha malaika wakiwa weupe, so hiyo nayo imetuathiri sana.

Ninachokataa katika maisha yangu hadi kufa ni madai ya watu kuwa, sisi Waafrika ni uzao wa Ham. Kwa elimu yangu ya jiografia na Historia, mimi ndiye nitakuwa wa mwisho kukubaliana na suala hili.

Kuna siku nitaweka bandiko nilifafanue vyema suala hili ili mu-judge wenyewe, just wait.
 
Kusema kuwa garika ilisababishwa na nibiru ambayo mpaka sasa ni takriban miaka 3600 iliyopita ilipopita karibu na sayari yetu ya dunia siyo kweli maana nibiru haiwezi kuleta athari zozote maana nibiru haitegemei nguvu ya nyota yetu ya jua pia nubiru kupita karibu na dunia haibadirishi gravit ya dunia na mwezi kama ingebadilisha hata msimu na majira yangebadirika huenda hata kuathiri mfumo wetu wa maisha ,viumbe hai kwa ujumla.
Na kama nibiru ingeikaribia dunia kwa sana na kupita katika anga yetu ya solar system ni dhahiri isinheweza kuondoka katika mfumo maana ingedakwa ktk mfumo wetu wa jua na ingekuwa sayari yetu ktk jua na ingeathiri uhai wetu Huenda tusingekuwepo au Tungekuwa viumbe tusiotegemea oxygen View attachment 965042View attachment 965043
Bahati nzuri unayoyasema ni kweli but still nina uhakika unafahamu kuwa kila mtu anayejua tu juu ya uwepo wa Sayari X basi hayo ya gravity ni kitu kinachofahamika vyema kwake.

But hatuwezi kamwe ku-ignore hii hoja ya kuja kwa Nibiru coz kuna baadhi ya wataalam wanadai Nibiru haitembei kama Sayari nyingine ndiyo maana inapoingia kwenye Solar System ina-behave differently na Sayari nyingine. Maelezo haya ni vigumu kukubalika but nimesahau link ningekuwekea unisome vyema.
 
hebu mwagika kidogo mkuu kuhusiana na ulimwengu wa katikati...uligusia kwamba kuna hole katikati ya dunia

wakati sisi wengine tulimezeshwa kuwa ndipo kilipo chanzo cha volcano (magma)

hebu funguka inawezekana vipi hiyo..!? au center ya dunia ni Portal.?
 
Inawezekana. Kwani waliochonga na kuzibeba hizi sanamu zinazoitwa moai, na kuziweka huko ziliko walikuwa watu wa aina gani?

File:AhuTongariki.JPG - Wikipedia
Ushahidi wa vitu vikubwa vikubwa isivyo kawaida vipo maeneo mengi duniani haswa Asia, Amerika na Ulaya. Huko kote kunaelezwa kuwa kuliwahi kuwepo Giants ambao hawakuwa na nguvu nyingi tu bali hata teknolojia.
So ndio hao hao Aliens.
 
hebu mwagika kidogo mkuu kuhusiana na ulimwengu wa katikati...uligusia kwamba kuna hole katikati ya dunia

wakati sisi wengine tulimezeshwa kuwa ndipo kilipo chanzo cha volcano (magma)

hebu funguka inawezekana vipi hiyo..!? au center ya dunia ni Portal.?
Mimi pia ni mtaalamu wa Jiografia lakini bado sijawahi kukataa moja kwa moja possibility ya ndani ya Dunia kuwepo hole.
Nilipokuwa A-Level, nilisumbuka sana kukubaliana na hoja ya Discontinuity (Mohorovicic, Guntenberg na Conrad) kwamba kila zones za Crust (Sial & Sima) na Upper Mantle - Lithosphere na ile ya Inne Mantle na Core - Asthenosphere, zina mipaka ambayo ilikuwa inasababisha mawimbi (mwangwi?) ya matetemeko ya ardhi (earthquakes) kuwa diverted. Kwa nini kuwepo mipaka (zones) wakati ni ujiuji (magma)?

Ndiyo maana baadhi ya watalaam wanaona kuna holes. Yes, hili suala ni gumu kukubaliana though!!

IMG_9909.jpg
 
View attachment 955893 Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa, Malaika wameumbwa kwa moto - Je, hiyo inamaanisha kuwa, wanaweza wakawa wanaishi na hata kwenye nyota (za moto) na siyo kwenye sayari tu?

Je, siyo kweli kuwa, eneo wanapoishi ndiko lilisababisha ukubwa wa maumbile yao kutokana na kuwepo kwa hali ya hewa tofauti tofauti?

Kumbuka kuwa, Enoch alitembezwa mbinguni kuanzia katika mbingu ya kwanza hadi mbingu ya 10. Katika akili ya kawaida, ni wazi kutoka mbingu moja hadi nyingine, kuna uwezekano wa uwezo wa umbali mrefu tena wa hata kutoka galaxy moja kwenda galaxy nyingine (just asssumption though).
View attachment 955894
Hahaa_watu wanashindwa kuelewa kuwa biblia ndiyo iliyilotufunza kuwa kuna Alien_wanaona kama sisi tumekengeuka

Mimi nipo tofauti sana napenda kuassum mambo_Kwa maoni yangu naona ndipo kwenye ujuzi mpya usio isha na kukinai

Imani yangu inaniambia kila kinizungukacho ni Guru wangu

Na nina amini katikati kila kiumbe kilicho obtain conciousness basi kina ocen knowledge ambayo ni infinity iliyo ndani yake

Ila kwakuwa mabwege wengi hawapendi kuamini hilo na ndio maana inatupelekea kudamaa kwingi

"kwanini utumie mawazo ya mwenzako kama suluhu ya uelewa...!? njia sahihi ni kuyatumia kuchochea yaliyo yako"

Kwahivyo ndugu we mwagika wengi tunapenda ubongo huru kama wako

Napenda sana mtu anayeonge yeye kama yeye na anayetumia marejeo kama chombo cha udadisi na sio suluhu [emoji120]
 
Mimi pia ni mtaalamu wa Jiografia lakini bado sijawahi kukataa moja kwa moja possibility ya ndani ya Dunia kuwepo hole.
Nilipokuwa A-Level, nilisumbuka sana kukubaliana na hoja ya Discontinuity (Mohorovicic, Guntenberg na Conrad) kwamba kila zones za Crust (Sial & Sima) na Upper Mantle - Lithosphere na ile ya Inne Mantle na Core - Asthenosphere, zina mipaka ambayo ilikuwa inasababisha mawimbi (mwangwi?) ya matetemeko kuwa diverted. Kwa nini kuwepo mipaka (zones) wakati ni ujiuji (magma)?

Ndiyo maana baadhi ya watalaam wanaona kuna holes. Yes, hili suala ni gumu kukubaliana though!!

View attachment 966561
Aah we ni Noma

Mimi sio mtaalamu wa hayo mambo uliyosomea_ ila nina sifa moja tu ya kupenda kutumia akili yangu

Hata mimi nilikuwa najiuliza kitu kama hicho kupitia mazingira yetu ya nje

iweje jua likiwa kali sisi viumbe wa chini linatuchoma lakini mawingu yaliyolikalibia yanaganda

Mimi nahisi kuna namna ya utabaka unajidhihirisha

basi tena kama sisi eneo tulilopo ndilo linapopindia mwangaza kwanini maji chini ya miamba yawe ya baridi tena..!?

maswali ni mengi sana
 
Bahati nzuri unayoyasema ni kweli but still nina uhakika unafahamu kuwa kila mtu anayejua tu juu ya uwepo wa Sayari X basi hayo ya gravity ni kitu kinachofahamika vyema kwake.

But hatuwezi kamwe ku-ignore hii hoja ya kuja kwa Nibiru coz kuna baadhi ya wataalam wanadai Nibiru haitembei kama Sayari nyingine ndiyo maana inapoingia kwenye Solar System ina-behave differently na Sayari nyingine. Maelezo haya ni vigumu kukubalika but nimesahau link ningekuwekea unisome vyema.
MKuu kuna baadhi ya hoja waachie waliosoma phisics na geography maana unabisha mambo usiyoyaelewa
Mfano mtu akuambie mtoto anazaliwa baada ya miezi mitatu na akaishi ndio sawa na hjoa zako
Mambo mengine lazima nawewe ukajifunze na ukasome uyaelewe
Inaonekana ulisoma masomo ya sanaa na wakati sio fani uliyoipenda, jifunzi kuelewa uhalisia kuliko kukalili ukweli
 
Hahaa_watu wanashindwa kuelewa kuwa biblia ndiyo iliyilotufunza kuwa kuna Alien_wanaona kama sisi tumekengeuka

Mimi nipo tofauti sana napenda kuassum mambo_Kwa maoni yangu naona ndipo kwenye ujuzi mpya usio isha na kukinai

Imani yangu inaniambia kila kinizungukacho ni Guru wangu

Na nina amini katikati kila kiumbe kilicho obtain conciousness basi kina ocen knowledge ambayo ni infinity iliyo ndani yake

Ila kwakuwa mabwege wengi hawapendi kuamini hilo na ndio maana inatupelekea kudamaa kwingi

"kwanini utumie mawazo ya mwenzako kama suluhu ya uelewa...!? njia sahihi ni kuyatumia kuchochea yaliyo yako"

Kwahivyo ndugu we mwagika wengi tunapenda ubongo huru kama wako

Napenda sana mtu anayeonge yeye kama yeye na anayetumia marejeo kama chombo cha udadisi na sio suluhu [emoji120]
Nimekupenda bure mzee.
Muda mwingine kuna watu huwa wanapenda kupinga kwa kisingizio cha Dini huku wakisahau kuwa hata sisi pia ni waumini ama tuna ufahamu wa kutosha na ABCs za masuala ya kidini.
Tukiwa wengi wa mtazamo wako huu, tutafurahia sana jukwaa hili.
 
MKuu kuna baadhi ya hoja waachie waliosoma phisics na geography maana unabisha mambo usiyoyaelewa
Mfano mtu akuambie mtoto anazaliwa baada ya miezi mitatu na akaishi ndio sawa na hjoa zako
Mambo mengine lazima nawewe ukajifunze na ukasome uyaelewe
Inaonekana ulisoma masomo ya sanaa na wakati sio fani uliyoipenda, jifunzi kuelewa uhalisia kuliko kukalili ukweli
Sijasoma physics lakini nimesoma Jiografia na kwa jiografia, I feel I'm second to none kwa sababu nimechimba kwa kiasi chake.

So ni bora unfeniuliza siyo kukimbilia kushauri eti niwaachie wengine. Ungekuwa una hoja kinzani ungeiweka kwa members humu ama ungeniuliza ili nikishindwa ndio unihukumu.
Mimi kuandika kuhusu ujio wa Nibiru usidhani ni suala nimeliokoteza leo. Nimefuatilia juu ya Sayari X tangu mwaka 2004 nilipokuwa A-Level na nilipokuwa UDSM nilifuatilia pia topic za masuala ya unajimu.

So, unaweza ukawa umesema physics lakini umeishia kukariri tu huwa uwezo wa ku-analyse beyond principles. Hivyo inawezekana hauna uelewa juu ya Nibiru kwa sababu haijaandikwa kwenye vitabu ndugu hilo liko wazi.
 
Malaika ni miongoni mwa viumbe vilivyoumbwa na Mungu na malighafi iliyotumika kuumbwa kwa hao Malaika ni malighafi ya Nuru. Na Nuru huwa ni yenye kung'aa na yenye kuangaza. Malaika ni viumbe ambao wapo tofauti na viumbe wengine, kwa nini? Hii inatokana na malighafi iliyotumika kuwaumbia, maumbile yao, kazi zao n.k.

Malaika hana jinsia, hali, hanywi, hamuasi Mungu lakini anapenda na kuchukia. Kupenda kwake akiona kiumbe cha Mungu hususan binadamu akifanya mema na kuchukia kwake ni kinyume cha hivyo. Kingine Malaika hawana maumbile kama ya binadamu wao wana maumbile ya kwao maalum. Hii inatokana na malighafi yao na kazi zao.

Tukirudi katika kuhusu maumbile makubwa ya binadamu wa kale maumbile yao hajasababishwa na kuingiliana na Malaika, bali ni hekima yake Mungu. Ukitizama katika Qur'an kuna aya 2 za sura tofauti. Mungu anatupa habari kuhusu viumbe(binadamu) alivyoviumba ambavyo vina miili mikubwa kuliko binadamu wa sasa . Ila kwa sasa hivi miili yetu Mungu anaifanya ya kawaida, hiyo mosi. Pili ni kwamba kuna aya katika Qur'an Mungu anasema " Tumeijenga Mbingu(ulimwengu) kwa uimara zaidi na tunaendelea kuitanua"

Hizo aya 2 hapo za juu tafuta kongamano moja kati ya Wanasayansi na viongozi wa dini wa Kiyahudi. Wanasayansi walielezea kwa nini viumbe wa kale walikuwa giant na uzito wa Dunia ulikuwa ni mdogo kwa kipindi hicho na hao watu(giant) au binadamu kwa ujumla walikuwa wachache. Na kwa sasa hivi kwa nini watu wana maumbile madogo na wapo wengi na ina uhusiano upi na kutanuka kwa Dunia(expanding earth theory).

Tukija kwenye suala la kuwa na viumbe wengine kwenye sayari nyengine hilo suala nitalijibu kimtindo huu;

Miongoni mwa wana wa zuoni wa Kiislamu wa kisunni kuna mmoja anaitwa Ibn Arab au al shaykh al-kabir ibn Arab Abuu Bakr Al qadir, Wana wa zuoni wanasema huyu Sheikh alikuwa ni Waliy wa Allah. Kuna ahadithi moja kutoka kwa Abdullah ibn Abbas na huyu sheikh ibn Arab ameikoti. Hiyo ahadith inasema kutoka kwa ibn Abbas kutoka kwa Mtume, Mtume anamwambia "Kuna viumbe waliyopo ulimwengu(kwa maana ulimwengu wa tofauti nasi) ewe ibn Abbas ambao wapo kama mimi" ana maanisha maumbile na si Utume. Katika Uislam mmoja miongoni mwa watu akizungumza jambo we have to look in Sharia: Sheikh ibn Arab kutoka kwenye hii ahadith akasema na akapambanua kwamba kuna Dunia(Sayari) nyengine Allah subhanu wataala created na kuna viumbe. Akaendelea akasema " Hao viumbe wapo kama sisi(binadamu) lakini wapo Dunia(Sayari) nyengine.

Sheikh ibn Arab alikuwa na elimu ya ziada kuhusu hii Sayari nyengine, yeye akaiita "Aalam simsima" . Sheikh Ibn Arab Abuu Bakr Al Qadir akasema; Allah subhanahu wataala baada ya kumuumba Adam alayhi ssalaam katika sehemu ya udongo ule ule uliyobaki uliumbiwa Mti wa Mtende. Akatoa ahadith kutoka kwa Mtume swalallahu alayhi wasallam inayosema" Akrimu Ammatakum nakhla": maana ya "Amma" kwa tafsiri nyepesi ni kama kuna udugu fulani hivi. Wataalamu wanasema Tende ndiyo tunda pekee ambalo limejitosheleza amino acid kwa kiasi chake ambacho ndichi kinachohitajika katika mwili wa binadamu. Kwa hiyo, hapa inaonesha ukaribu tuliyokuwa nao kati ya mtende na mwili wetu, yote imetokana na sehemu ya udongo uliyobaki uliyoumbiwa Adam alayhi ssalam.

Sheikh ibn Arab akasema tena, Sehemu ya udongo uliyobaki aliyoumbiwa Adam, ambayo sehemu ya udongo uliyobaki ukaumbiwa mti wa Mtende na sehemu ya udongo uliyobaki ndiyo ikaumbiwa hiyo Sayari ambayo Mtume aliyoizungumzia kwa kusema kwamba "Kuna viumbe wengine katika ulimwengu mwengine ambao wapo kama mimi ewe ibn Abbas" Vile vile akaeleza namna gani ya kufika huko na kurudi. Hili suala hili bila shaka Mawalii wa Mungu ndiyo wanaliweza na Uwalii nao umetofautiana daraja.

Kuhusu Dunia kuwa na tundu na kuna viumbe vingine vinaishi hili suala sina ujuzi nalo.

Mungu ndiye mjuzi zaidi.
 
Kama Malaika hawana jinsia, sasa wale Malaika walioshuka duniani na kulala na wanadamu na kisha kuzaliwa majitu (Giants), walitoka wapi ama walitumia nini kulala na wanadamu?
 
Ila kiukweli pamoja na Quran kuchukua hadithi nyingi kutoka kwenye Vitabu vya Mussa (Torati) vilivyoko kwenye Biblia, lakini kitabu hiki kimetoa msaada mkubwa sana kutujulisha juu ya sayansi hasa mambo controversial yaliyoandikwa pia kwenye Kitabu cha Enoki kilichoondolewa kwenye Biblia.

Natumai wengine wenye ufahamu wa Quran, wataendelea kutushushia nondo hasa za kihistoria na kisayansi ili zitusaidie kujadili hoja zilizo mezani.
Gud mzee!!
 
Kiranga atataka uthibitishe kama malaika wapo.
Kitu ambacho hatoweza siyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji617] zaidi zaidi ataishia kwenye assumptions na vifungu vyenye kuogofya na kukataza watu kuhoji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Malaika hawana jinsia, sasa wale Malaika walioshuka duniani na kulala na wanadamu na kisha kuzaliwa majitu (Giants), walitoka wapi ama walitumia nini kulala na wanadamu?
Malaika kila siku wanashuka Duniani Kiongozi. Vipi hilo dai lako mbona bado hawaingiliani na watu?
 
Back
Top Bottom