Je, ukubwa uliopitiliza wa Grigori Angels pamoja na maumbo ya ajabu ajabu ya Malaika siyo matokeo ya Evolution iliyotokana na hali ya hewa ya huko?

Ila kiukweli pamoja na Quran kuchukua hadithi nyingi kutoka kwenye Vitabu vya Mussa (Torati) vilivyoko kwenye Biblia, lakini kitabu hiki kimetoa msaada mkubwa sana kutujulisha juu ya sayansi hasa mambo controversial yaliyoandikwa pia kwenye Kitabu cha Enoki kilichoondolewa kwenye Biblia.

Natumai wengine wenye ufahamu wa Quran, wataendelea kutushushia nondo hasa za kihistoria na kisayansi ili zitusaidie kujadili hoja zilizo mezani.
Gud mzee!!
Qur'an imebeba Zaburi, Taurati na Injili na Qur'an yenyewe. Enoki kwetu anaitwa Idrisa a.s. Ndiye binadamu wa kwanza kushika kalamu Dunia nzima. Ndiye binadamu wa kwanza kufanya mahesabu kwa kutumia kalamu na ndiye binadamu wa kwanza kuwa na elimu ya astronomy. Na ndiye binadamu wa kwanza kuanzisha jeshi la kupigana na madhalimu Duniani.
 
Malaika kila siku wanashuka Duniani Kiongozi. Vipi hilo dai lako mbona bado hawaingiliani na watu?
Kwenye uislamu tumeambiwa humu kuwa Malaika huwa wanashuka kila siku kwa maelfu lakini kwenye ukristo hakuna palipoandikwa kuwa Malaika huwa wanakuja duniani kila siku zaidi ya mmoja mmoja anayetumwa kwa dhumuni maalum. So, kama Malaika huwa wanashuka kila siku, je huwa wanashuka wakiwa katika maumbo yanayoonekana kama wale Malaika walioasi na kuja kuishi duniani?
 
Qur'an imebeba Zaburi, Taurati na Injili na Qur'an yenyewe. Enoki kwetu anaitwa Idrisa a.s. Ndiye binadamu wa kwanza kushika kalamu Dunia nzima. Ndiye binadamu wa kwanza kufanya mahesabu kwa kutumia kalamu na ndiye binadamu wa kwanza kuwa na elimu ya astronomy. Na ndiye binadamu wa kwanza kuanzisha jeshi la kupigana na madhalimu Duniani.
Dah!! Nimeipenda hiyo.
 
Kwenye uislamu tumeambiwa humu kuwa Malaika huwa wanashuka kila siku kwa maelfu lakini kwenye ukristo hakuna palipoandikwa kuwa Malaika huwa wanakuja duniani kila siku zaidi ya mmoja mmoja anayetumwa kwa dhumuni maalum. So, kama Malaika huwa wanashuka kila siku, je huwa wanashuka wakiwa katika maumbo yanayoonekana kama wale Malaika walioasi na kuja kuishi duniani?
Nashukuru kufahamu hilo Mkuu. Ahsante sana.

Kwa upande wetu sisi Waislam, Malaika ni viumbe asiye hasi kwa maana asiye enda kinyume kwa yale wanayoamrishwa na Mungu. Ni viumbe wasiyokuwa na jinsia, hawali wala hawanywi na ni viumbe kwenye maumbo makubwa kwa maumbo yao ya kiasili. Wamepewa uwezo wa kujibadili maumbo yao kama kujitokeza kwa umbile la binadamu, wanyama au ndege na ni viumbe wenye nguvu kwa mfano;

Malaika Jibril(Gabriel) a.s kwa imani ya kiislam ni Malaika mwenye nguvu na ni mkubwa kimaumbile. Ana mbawa 600, unakikumbuka kisa cha Nabii Lutwi a.s? Watu wake si waliadhibiwa kwa kuingiliana wanaume kwa wanaume? Unajua aliyepewa amri ya kwenda kushusha hiyo dozi ni nani? Ni Malaika mmoja tu, aliichimba na kuichota ardhi ya nchi aliyopo Nabii Lutwi kwa mbawa zake mbili tu. Halafu akainyanyua ile nchi mpaka juu kabisa kwa kasi. Kwa itikadi ya Kiislam Masafa yaliyopo baina ya Mbingu(kwa maana unapita kwenye galaxies hizi tunazozijua na tusizozijua ndo unafika mbinguni) na Ardhi(Dunia) ni miaka 500 kwa chombo kinachokimbia kwa kasi, ndivyo Mtume alivyosema.

Na kwa umbali huo Malaika hawasikii wala kuona tunayofanya Duniani, isipokuwa kwa kitendo cha kutukuzwa Mungu tu kwa rehma zake ndiyo Malaika angalau wanasikia. Sasa huyo Malaika aliyeichota na kuinyanyua hiyo ardhi ya watu wa Lutwi, aliipeleka juu kwa umbali wa katikati ya Mbingu na ardhi(Dunia) umbali ambao hadi Malaika wenzake waliyopo Mbingu ya kwanza walisikia kelele za watu za kilio, kelele za kuku, wanyama zote. Halafu huyo Malaika akaigeuza mithili ya chapati inavyogeuzwa kwenye kikaangio na akairudisha tena kwa kasi kubwa sana kwenye Dunia kisha akaibamiza kwenye ardhi kwa nguvu. Kwa hiyo hao watu walizikiwa ndani ya ardhi na baada ya hapo yakaporomoka mawe ya moto kutoka Mbinguni. Huyo Malaika aliyetumwa akatoe hiyo dozi ni Jibril a.s na alitumia mabawa mawili tu kati ya mabawa yake 600.

Katika Uislam binadamu anashukiwa na Malaika si chini ya 8 kwa siku. Na tahadhari wengine ni kwa ulinzi wako. Bila ya hao Malaika wa Mungu basi Majini wangekuwa wanatuchezea mithili ya binadamu anavyouchezea mpira. Wengine wanashuka ukifanya ibada na size ya maumbile ya hao Malaika ni kama Milima mikubwa kabisa na hawa wanakuja kufanya ibada na wewe ikiwa wewe umeamka usiku kufanya ibada. Kwa hiyo, kama una muamini Mungu ukiamka usiku hata ukisikia sauti ya kinyamkera kama upo kwenye ibada usiogope kwani mziki wa hapo hawaugusi hao vinyamkera.
 
Ninapata raha sana kwa madude yako haya mzee!
 
Mbingu imeishia wapi..?
 
Sijafahamu na ndio maana naomba unifahamishe
Kuelewa kuhusu Mbingu na ilipoishia muktadha wake ni huu, na itakuwa ni bora zaidi tukifahamishana kwa mifano.

Kuna Mbingu na kuna Mawingu. Mawingu si kitu kigeni ukitizama juu yale unayoyaona kama moshi unaoelea juu angani yale ndiyo mawingu. Kingeni ambacho kina umiza watu kichwa ni Mbingu. Mbingu ni nini? Iko wapi? Na fikra ama tasirwa ya kusema kuna mbingu wanadamu wameitolea wapi?

Hayo yote maswali binadamu wanajiuliza na tafiti zinafanyika na kuendelea kufanyika ili kuthibitisha Mbingu kama kweli ipo, na asili ya hii dhana yenye kuleta tafakari imetokana na Dini. Binafsi naamini Mungu yupo na ni muumini wa Dini ya Kiislam. Kwa vile bado sayansi(ambayo wengi wao tunaiamini kwamba ndiyo kikomo cha mambo yanayotusumbua) haijaweza kujumuisha tafiti na kuelezea kwa mapana ipo wapi Mbingu na ni nini(?), Binafsi nitalijibu kutoka na Dini yangu inavyoeleza kuhusiana na Mbingu ni nini. Waislam tuna kauli ambayo ni sehemu ya aya katika sura inayosema;

"Al hamdulillahi rabbil' aalamiin"

Tafsiri yake ni, " Sifa njema ni zake yeye Mungu au Anastahiki yeye Mungu au Apasaye kushukuriwa ni yeye Mungu bwana(mlezi) wa ulimwengu wote.

Hapo juu kwenye hiyo aya tumepata neno " Al aalamiin" kwenye hiyo aya inasomeka kama "Aalamiin" ikiwa na maana "Ulimwengu" Pengine tujiulize "Ulimwengu" ni nini? Mungu ametupa akili anatutaka tutafakari kwa yale anayotuambia. Ulimwengu kwa maarifa na juhudi za mwanadamu alizopewa na Mungu, akajaribu kufafanua Ulimwengu ni nini(?). Wanasayansi wanatuambia kwamba "Ulimwengu ni sehemu ya wazi ambayo ni kubwa, ambayo isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, sehemu ambayo imekusanya Sayari(Dunia yetu ikiwemo), Nyota, Galaxies n.k; Kwa Kingereza inaitwa Universe( angalizo: ufafanuzi kuhusu Ulimwengu zipo fafanuzi za aina mbalimbali).

Katika aya hiyo hiyo Mungu anasema yeye ni " Rabbi" kwa maana ni mlezi, Kwa nini amesemea hivyo? Tunafahamu kwamba katika Ulimwengu kuna Laws or principles by which everything in the Universe(Ulimwengu) is governed. Kama Immutable and the mutable law na nyenginezo. Sisi Waislam tunasema ni "Mwenendo wa Mungu" kwa maana ndiye amekadiria ziwe hivyo, na yeye ndiye anayeziongoza na tafsiri ya kuongoza haina tofauti na "Rabbi" kwa maana "Mlezi". Kwa mantiki hiyo, tukisafiri kwa aya hiyo hiyo inayosema;

" Alhamdulillahi rabbil aalamiin"

Tafsiri yake ni "Sifa njema ni zake yeye Mungu au Apasaye kushukuriwa ni yeye Mungu mlezi wa Ulimwengu wote. Kwa maana zile kanuni zote zinazoendesha Ulimwengu yeye ndiye Mlezi(bila shaka maana ya Ulimwengu unaifahamu vizuri kuliko mimi)

Turudi kwenye kiini cha swali lako, ni nini Mbingu? Kuna aya katika Qur'an Mungu anasema;

" Ameumba Mbingu na Ardhi na vilivyomo baina ya hivyo"

Tafsiri ya ardhi katukusudia sisi binadamu kwa maana tunaishi katika hii ardhi katika hii Dunia. Dunia ni miongoni kwa Sayari iliyopo katika Ulimwengu. Kwa maarifa na juhudi tuliyopewa na Mungu ama wengine wakijinadi kwamba ya kwao, lakini bado hatujajua Ulimwengu umeanzia wapi na umeishia wapi. Katika Uislam Mtume Muhammad rehmani na amani ziwe juu yake anasema; " Masafa yaliyopo baina ya Mbingu na ardhi ni sawa sawa na chombo kinachokimbia kwa kasi kwa miaka 500" ardhi amekusuduia ni Dunia. Turejelee kwenye aya yetu inayosema;

"Ameumba Mbingu na Ardhi na vilivyomo baina ya hivyo"

Ardhi ni Dunia, na ipo katika Ulimwengu. Kwa maana ukitoka katika hii Dunia ambayo ipo katika Ulimwengu na Dunia yetu ipo katika galaxy ya milk way katika Ulimwengu kwa, tafsiri ya maana: Tukitoka katika hii Dunia vipo ambavyo vipo katika huu Ulimwengu ambavyo ni vipo. Ambapo zipo zillions na zillions za Sayari, zillions na zillions za Nyota na zillions na zillions za Galaxies. Kwa huruma yake Mungu ili atupe tasirwa juu yetu sisi ili kuelewa kile anachotuambia, akasema " Vilivyomo baina ya Mbingu na ardhi" na sisi tukiangalia ukitoka kwenye Dunia ni vingi na hali ya kustaajabisha. Lakini ukirudi mwanzoni mwa hiyo aya Mungu anasema;

Kwa mantiki hiyo, haya yote tunayoyaona(Sayari, Nyota, mifumo ya Jua, Galaxies) hivyo vyote vipo chini ya Mbingu. Sasa pima umbali tu wa kutoka Sayari kwa Sayari, Galaxies kwa Galaxies, mfumo huo wote ukiupita ndipo unapofika Mbinguni. Lakini Mtume rehma na amani ziwe juu yake, yeye ametuambia; " Masafa yaliyopo baina ya Mbingu na Ardhi ni sawa sawa na chombo kinachokimbia kwa kasi kwa miaka 500" Mtume yupo sahihi, wa kujiuliza ni sisi wenyewe. Alivyosema kasi alimaanisha ni kasi ya km ngapi kwa saa(??) Ila makadirio ndiyo hayo miaka 500 ndipo utakapofika Mbinguni na Mbingu zipo 7. Unataka kujua baada ya Mbingu kuna nini?, na baada ya kuna nini kuna nini?

Nitarudi baadae.
 
Ni ndefu..! tena kuilewa yataka moyo

unajua ni kwanini nilikuuliza swali hilo..? Ni baada ya kutoa maelezo yako juu ya sodoma na gomora

siwezi nukuu ila ulizungumzia habari ya kuangamizwa kwao ukiwa unakazia jambo fulani

ukasema malaika aliyetumwa kuangamiza mji huo aliweza kuinyanyua ardhi ya eneo husika baina ya ardhi na Mbingu

Sasa ndio nikawa najiuliza huku nikivuta picha kuwa ardhi naifahamu point hii 'A' haikunipa shida

Sasa wakati navuta picha kutafuta point 'B' ndipo nilipoingia chaka_nakawa naona hii point ni infinity and beyond the range of thinking

nikaona nisipate tabu ngoja nimuulize labda yawezekana ni myth tu
 
Isome usichoke halafu ielewe halafu unganisha maswali yako yote halafu niulize.
 
Biblia imeandikwa kwa codes nyingi sana
Kama unasoma huna knowledge ya kutosha au kutegemea roho mtakatifu you will get nothing from it.

Kuna viumbe wengi sana katika dunia isiyoonekana kwa macho
Na utahakikisha tu pale utakapokuwa katika dunia hiyo. ......
 
Kwann hicho kitabu kilitolewa?

Kuna siri/mapungufu gani katika kitabu hicho?

Nani alikitoa?

Tuanzie hapo kwanza labda nitapata kitu kidogo
Maswali hayo ndiyo yananifanya niwachukie watu wa Roma; kuna vitu vingi wamebaki navyo wao tu.
 
Isome usichoke halafu ielewe halafu unganisha maswali yako yote halafu niulize.
Nimefika mpaka pale ulipotaja zillion kwa mazillion ya magimba ya angani

Ndio bado naendelea kujiuliza hiyo kwamba ardhi iliponyanyuliwa ilipita Bertegues,Orion mpaka Galaxy yetu ya milk way...!? na Andromeda..!? halafu ikarudishwa

hiyo ni zaidi ya Fetality za motor kombat
 
Hapo kuna shida nyingine kubwa sana. Sitaki kuliko fella hili kwa sasa but naliandalia timing tu naendelea kukusanya data, kuna siku nitalileta hili la Malaika kuwa weupe tu muda wote.
kwenye data zako uchunguze kile kitoto Nuhu kilichozaliwa kinang'aa kama jua hadi watu wakakiogopa na kudhania ni mwana wa miungu hadi Metusela akadhania mkewe keshatembea na grigoris,ni nini?kwa mujibu wa Enoch,Nuhu alipozaliwa aling'aa na kuwa tofauti na watu wa duniani enzi hizo hadi akaogopwa!Je,offspring ya Nuhu ndio ipi?Leo ipo?Waliokuwepo kabla yake walikuwaje?Leo wapo?Ahsanti!
 
Nimefika mpaka pale ulipotaja zillion kwa mazillion ya magimba ya angani

Ndio bado naendelea kujiuliza hiyo kwamba ardhi iliponyanyuliwa ilipita Bertegues,Orion mpaka Galaxy yetu ya milk way...!? na Andromeda..!? halafu ikarudishwa

hiyo ni zaidi ya Fetality za motor kombat
Hahahahaha.. Aisee nimecheka sana. Umenikumbusha mbali sana game ya motor kombat..

Ila ipo hivi, kwa mfano ukitizama wacheza mazinga ombwe mfano Dynamo Magician. Huyu jamaa anatembea kwenye maji, anatembea kwenye hewa, anapaa, kwenye ghorofa juu kabisa yeye anashuka mpaka chini ya ghorofa kwa kutembea tuu kwa miguu kama mimi na wewe tunavyotembea kwenye ardhi halafu haanguki.

Kingine anatembea na baiskeli angani. Ana uwezo wa kushika maji yanayotirirka na kuyafanya yagande kwa umbali anaotaka.

Kwa hayo yote unashangaa kuhusu Malaika wa Mungu kwa nguvu walizoumbwa nazo? Huyo Malaika Jibril(Gabriel) umbile lake halisi Dunia ni ndogo.

Anavyoteremka kutoka Mbinguni kuja Duniani unafikiri anapitia wapi? Ya Mungu ni Makubwa kuliko uwezo wetu wa kufikiri.
 
Kuelewa kuhusu Mbingu na ilipoishia muktadha wake ni huu, na itakuwa ni bora zaidi tukifahamishana kwa mifano.

Kuna Mbingu na kuna Mawingu. Mawingu si kitu kigeni ukitizama juu yale unayoyaona kama moshi unaoelea juu angani yale ndiyo mawingu. Kingeni ambacho kina umiza watu kichwa ni Mbingu. Mbingu ni nini? Iko wapi? Na fikra ama tasirwa ya kusema kuna mbingu wanadamu wameitolea wapi?

Hayo yote maswali binadamu wanajiuliza na tafiti zinafanyika na kuendelea kufanyika ili kuthibitisha Mbingu kama kweli ipo, na asili ya hii dhana yenye kuleta tafakari imetokana na Dini. Binafsi naamini Mungu yupo na ni muumini wa Dini ya Kiislam. Kwa vile bado sayansi(ambayo wengi wao tunaiamini kwamba ndiyo kikomo cha mambo yanayotusumbua) haijaweza kujumuisha tafiti na kuelezea kwa mapana ipo wapi Mbingu na ni nini(?), Binafsi nitalijibu kutoka na Dini yangu inavyoeleza kuhusiana na Mbingu ni nini. Waislam tuna kauli ambayo ni sehemu ya aya katika sura inayosema;

"Al hamdulillahi rabbil' aalamiin"

Tafsiri yake ni, " Sifa njema ni zake yeye Mungu au Anastahiki yeye Mungu au Apasaye kushukuriwa ni yeye Mungu bwana(mlezi) wa ulimwengu wote.

Hapo juu kwenye hiyo aya tumepata neno " Al aalamiin" kwenye hiyo aya inasomeka kama "Aalamiin" ikiwa na maana "Ulimwengu" Pengine tujiulize "Ulimwengu" ni nini? Mungu ametupa akili anatutaka tutafakari kwa yale anayotuambia. Ulimwengu kwa maarifa na juhudi za mwanadamu alizopewa na Mungu, akajaribu kufafanua Ulimwengu ni nini(?). Wanasayansi wanatuambia kwamba "Ulimwengu ni sehemu ya wazi ambayo ni kubwa, ambayo isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, sehemu ambayo imekusanya Sayari(Dunia yetu ikiwemo), Nyota, Galaxies n.k; Kwa Kingereza inaitwa Universe( angalizo: ufafanuzi kuhusu Ulimwengu zipo fafanuzi za aina mbalimbali).

Katika aya hiyo hiyo Mungu anasema yeye ni " Rabbi" kwa maana ni mlezi, Kwa nini amesemea hivyo? Tunafahamu kwamba katika Ulimwengu kuna Laws or principles by which everything in the Universe(Ulimwengu) is governed. Kama Immutable and the mutable law na nyenginezo. Sisi Waislam tunasema ni "Mwenendo wa Mungu" kwa maana ndiye amekadiria ziwe hivyo, na yeye ndiye anayeziongoza na tafsiri ya kuongoza haina tofauti na "Rabbi" kwa maana "Mlezi". Kwa mantiki hiyo, tukisafiri kwa aya hiyo hiyo inayosema;

" Alhamdulillahi rabbil aalamiin"

Tafsiri yake ni "Sifa njema ni zake yeye Mungu au Apasaye kushukuriwa ni yeye Mungu mlezi wa Ulimwengu wote. Kwa maana zile kanuni zote zinazoendesha Ulimwengu yeye ndiye Mlezi(bila shaka maana ya Ulimwengu unaifahamu vizuri kuliko mimi)

Turudi kwenye kiini cha swali lako, ni nini Mbingu? Kuna aya katika Qur'an Mungu anasema;

" Ameumba Mbingu na Ardhi na vilivyomo baina ya hivyo"

Tafsiri ya ardhi katukusudia sisi binadamu kwa maana tunaishi katika hii ardhi katika hii Dunia. Dunia ni miongoni kwa Sayari iliyopo katika Ulimwengu. Kwa maarifa na juhudi tuliyopewa na Mungu ama wengine wakijinadi kwamba ya kwao, lakini bado hatujajua Ulimwengu umeanzia wapi na umeishia wapi. Katika Uislam Mtume Muhammad rehmani na amani ziwe juu yake anasema; " Masafa yaliyopo baina ya Mbingu na ardhi ni sawa sawa na chombo kinachokimbia kwa kasi kwa miaka 500" ardhi amekusuduia ni Dunia. Turejelee kwenye aya yetu inayosema;

"Ameumba Mbingu na Ardhi na vilivyomo baina ya hivyo"

Ardhi ni Dunia, na ipo katika Ulimwengu. Kwa maana ukitoka katika hii Dunia ambayo ipo katika Ulimwengu na Dunia yetu ipo katika galaxy ya milk way katika Ulimwengu kwa, tafsiri ya maana: Tukitoka katika hii Dunia vipo ambavyo vipo katika huu Ulimwengu ambavyo ni vipo. Ambapo zipo zillions na zillions za Sayari, zillions na zillions za Nyota na zillions na zillions za Galaxies. Kwa huruma yake Mungu ili atupe tasirwa juu yetu sisi ili kuelewa kile anachotuambia, akasema " Vilivyomo baina ya Mbingu na ardhi" na sisi tukiangalia ukitoka kwenye Dunia ni vingi na hali ya kustaajabisha. Lakini ukirudi mwanzoni mwa hiyo aya Mungu anasema;

" Ameumba Mbingu na Ardhi na vilivyomo baina ya hivyo"

Kwa mantiki hiyo, haya yote tunayoyaona(Sayari, Nyota, mifumo ya Jua, Galaxies) hivyo vyote vipo chini ya Mbingu. Sasa pima umbali tu wa kutoka Sayari kwa Sayari, Galaxies kwa Galaxies, mfumo huo wote ukiupita ndipo unapofika Mbinguni. Lakini Mtume rehma na amani ziwe juu yake, yeye ametuambia; " Masafa yaliyopo baina ya Mbingu na Ardhi ni sawa sawa na chombo kinachokimbia kwa kasi kwa miaka 500" Mtume yupo sahihi, wa kujiuliza ni sisi wenyewe. Alivyosema kasi alimaanisha ni kasi ya km ngapi kwa saa(??) Ila makadirio ndiyo hayo miaka 500 ndipo utakapofika Mbinguni na Mbingu zipo 7. Unataka kujua baada ya Mbingu kuna nini?, na baada ya kuna nini kuna nini?

Nitarudi baadae.
Hongera kwa kutupa raha mzee baba la baba. Nimefurahi kugundua kuwa, Mtume Mohammad alisema umbali kutoka duniani hadi mbinguni ni wastani wa miaka 500. Tu-assume hiyo ni speed ya mwanga halafu ikimbie kwa miaka ipatayo 500.

Mahesabu yatakuwa ni 299,000 (kazi ya mwanza kwa Sekunde 1) X 60 (Sekunde) X 60 (dakika) X 24 (masaa) X 365 (siku) X 500 (miaka) = ? Wataalam mta-confirm kama nimekosea mahesabu.
 
Mimi ni mkristo na nimekuelewa vyema kabisa, barikiwa sana ndugu.
 
Back
Top Bottom