bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Je Kodi zetu zinatuma kwa maendeleo au tunafaidisha wachache juuFafanua mkuu .wananchi mbona twalipa Kodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je Kodi zetu zinatuma kwa maendeleo au tunafaidisha wachache juuFafanua mkuu .wananchi mbona twalipa Kodi?
Toa hio no 4 Sio kikwazo.1. Uongozi Bora?
2. RUSHWA?
3. Siasa safi?
4. Wingi wa wananchi, large population?
5. Unemployment rate kuwa juu?
6. CCM?
Yaani tunakwama wapi?
Tatizo nini sasa?Toa hio no 4 Sio kikwazo.
Population ni raslimali tosha maana unapata nguvu kazi pia ni soko la bidhaa
Sababu kuu tuna viongozi wenye upeo mdogo wa kufikiri na pia ufisadi ndiyo vikwazo.Kwaiyo Tanzania ni kubwa kwa eneo kuliko China,India na Urusi?mbona wenzetu huduma zinafika?Salaam, Shalom!!
Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo,
Ni Lini Serikali ya CCM itanunua laptop Kwa Kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?
Nilipotoa mfano wa Nchi ndogo ya Rwanda kuweza kuhakikisha wanafunzi wa shule za msingi wanapata laptop za kusaidia kujifunza darasani Ili kuendana na Kasi ya mabadiliko yanayotokea katika mfumo wa Elimu na teknolojia ya mawasiliano, alijibu kuwa, jambo Hilo limewezekana sababu Nchi ya Rwanda ni ndogo!!
Nilipohoji, ikiwa Udogo wa Nchi ya Rwanda ni fursa kupeleka maendeleo na mabadiliko ya kimfumo wa ELIMU nchini mwao, ikiwa nasi tutaigawa Nchi yetu vipande vidogo vidogo vyenye kulingana na ukubwa wa Rwanda, tutaweza kuwafikia na kuwapita kimaendeleo katika sekta mbalimbali, Elimu ikiwamo?
Pia, nimewahi kumsikia kiongozi mmoja mkubwa akijenga HOJA kama ya ndugu Voice of Tanzania kwamba,
Mwalimu Nyerere katika utawala wake, aliweza Kutoa chakula mashuleni na huduma nyingine kirahisi sababu tulikuwa idadi ndogo kulinganisha na sasa tumeongezeka sana.
Maswali ya kujiuliza Watanzania,
1. Je, ni Kweli ukubwa wa Nchi yetu, ni kikwazo Kwa Serikali yetu kushindwa kupeleka maendeleo Kwa haraka?
2. Je, ni Kweli wingi wetu wananchi walipakodi ni kikwazo kikuu ya Serikali yetu kushindwa kutuhudumia wananchi?
Karibuni [emoji120].
Mfumo mbovu wa malezi yetu ndio uzaa taifa la hovyo la hatua mbele moja hatua mbili nyuma kuchezea tu Kodi zetu.Tatizo nini sasa?
1. ELIMU ndogo?
2. Udhaifu wa Vyama mbadala?
3. Ni Ubinafsi na kukosa Uzalendo?
4. Kukosa washauri waziri wa kushauri viongozi wetu?
5. Je ni Uhuru uliopitiliza?
6. Je ni malezi mabovu ya JAMII zetu?
Ni nini Hasa tatizo?
Sasa kama yule Waziri Kilaza Jerry Slaa anatuonesha daraja la milioni 50 na kutuambia limejengwa kwa Bilioni 17!!!Ndo mjue wananchi wa Leo Si wajinga, wanakutizameni tu,
Muwapo majukwaani ongeeni mkijua mnaongea na watu wenye utimamu wa Akili.
Tusikubali Hali hii kuendelea,Mfumo mbovu wa malezi yetu ndio uzaa taifa la hovyo la hatua mbele moja hatua mbili nyuma kuchezea tu Kodi zetu.
Check ajenda ni kuua miradi yote aliyoasisi magu kila mtawala huja na yake hamalizi akishapata pasent zake au akihongwa nyumba ulaya au Dubai tosha wananchi watajijua wenyewe, akiingia mtawala mwingine anakuja na yake.
Miradi iliyopita ndo imekufa na Hela zetu hizo.magu aliua mradi wa dege village mabilioni yamepotea yamebaki magofu watu wameiba vitu hakuna wa kusimamia,Chato imekufa SGR haujulikani mara wafanyakazi wanapunguzwa,mara hawana mafuta mara sijui nini Kuna mradi kweli hapo, bwawa halijulikani,ndege zipo grounded zaidi ya tilioni 30 zimepotea hapo,ajae nae atakuja na yake atapiga ataondoka.
Ni kama vile nchi ipo locked Kuna mstari wa umasikini wananchi hawatakiwi kuuvuka vile
Anajua wananchi wa kawaida ni mbumbumbu sababu wameua ELIMU Kwa WENGI makusudi ambao husoma shule za KATA!!Sasa kama yule Waziri Kilaza Jerry Slaa anatuonesha daraja la milioni 50 na kutuambia limejengwa kwa Bilioni 17!!!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tunajadili HOJA, hatujadili chawa.Unaanzisha mada kwasababu ya comment ya chawa ChoiceVariable ?? Inaonekana una muda mwingi sana mkuu
Tatizo kubwa la nchi yetu ni uongozi mbovu na ubinafsi. Viongozi wanawaza kujineemesha tu at the expenses ya wananchi wao.Tatizo nini sasa?
1. ELIMU ndogo?
2. Udhaifu wa Vyama mbadala?
3. Ni Ubinafsi na kukosa Uzalendo?
4. Kukosa washauri waziri wa kushauri viongozi wetu?
5. Je ni Uhuru uliopitiliza?
6. Je ni malezi mabovu ya JAMII zetu?
Ni nini Hasa tatizo?
Ndo nasema, hatupasi kuvunilia Hali hii,Tatizo kubwa la nchi yetu ni uongozi mbovu na ubinafsi. Viongozi wanawaza kujineemesha tu at the expenses ya wananchi wao.
Nchi haina mipango. Ukiwauliza CCM ambao ndio viongozi wa Taifa, Tanzania mnataka iweje baada ya miaka 20? watakwambia dunia (international community) lazima tuendenayo.
Katika mazingira hayo huweza kuweka mipango yako maana hiyo international community hawahitaji wewe kua na mipango, bali uwe ombaomba tu.
Sisi wananchi hatuna uthubutu wa matendo au kuonesha wazi wazi kwamba tunapinga hili ( ingawa kwa sasa hali inaendelea vizuri, wengi wameamka sana) Wewe kama kijana au baba unamruhusu vip mkeo apewe pesa apandishwe lori kwenda kwenye kikao ili ionekane watu wamejaa? Hiyo inamadhara gani? Hiyo inawapa justification ya kuiba kura na kuchezea matokeo kipindi cha uchaguzi.
Tusimame imara kila mtu kwa nafasi yake. Haya mambo ya kusema CCM mbele kwa mbele, tumeipenda wenyewe, CCM yenyewe inabweteka, inazidi kutuumiza.
Ubinafsishaji ni mzuri ila ni kichaka cha kuiba pesa maanana viwanda vingi vikibinafsishwa tu, vinakufa.
Tunao uwezo kuwalazimisha watunge SHERIA Ili viongozi wote wa umma wasome shule za umma Ili kusimamia Kwa vitendo ELIMU.Watoto wao wanasoma Ulaya laptop za Nini sasa.
Wangekuwa wanasoma kayumba hata tatizo la usafir kwa wanafunzi lisingekuwepo.
Kutunga na kutekeleza ni vitu viwili tofautTunao uwezo kuwalazimisha watunge SHERIA Ili viongozi wote wa umma wasome shule za umma Ili kusimamia Kwa vitendo ELIMU.
Ndo tuamue sasa,Kutunga na kutekeleza ni vitu viwili tofaut
VizuriTunajadili HOJA, hatujadili chawa.
Kama wamekalia system, kuwasusia haupaswi kuwa option.
Ukilinganisha matumizi ya serikali na ukubwa wa nchi utagundua kuna resources zinafujwaMaswali ya kujiuliza Watanzania,
1. Je, ni Kweli ukubwa wa Nchi yetu, ni kikwazo Kwa Serikali yetu kushindwa kupeleka maendeleo Kwa haraka?
2. Je, ni Kweli wingi wetu wananchi walipakodi ni kikwazo kikuu ya Serikali yetu kushindwa kutuhudumia wananchi?
Karibuni 🙏.