Je, Ukubwa wa Nchi yetu Tanzania ni kikwazo katika kuwafikia na kuwahudumia wananchi?

wanachochea wanyabishara wasilipe kodi
Si Kweli ndugu,

Wananchi tunapenda kulipa Kodi.

Tatizo linakuja Kwa viongozi wetu kufuja Kodi tunazolipia.

Yaani Mwananchi asiyemiliki hata baiskeli, anawezaje kumnunulia DED V8 jipya ya ml 400?

Au Mwananchi atapata wapi Uzalendo wa kulipa Kodi ikiwa atasikia CAG anaripoti billions of money zinaibwa na wahusika hawachukuliwi hatua yoyote?
 
Salaam, Shalom!!

Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo,

Ni Lini Serikali ya CCM itanunua laptop Kwa Kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

Nilipotoa mfano wa Nchi ndogo ya Rwanda kuweza kuhakikisha wanafunzi wa shule za msingi wanapata laptop za kusaidia kujifunza darasani Ili kuendana na Kasi ya mabadiliko yanayotokea katika mfumo wa Elimu na teknolojia ya mawasiliano, alijibu kuwa, jambo Hilo limewezekana sababu Nchi ya Rwanda ni ndogo!!

Nilipohoji, ikiwa Udogo wa Nchi ya Rwanda ni fursa kupeleka maendeleo na mabadiliko ya kimfumo wa ELIMU nchini mwao, ikiwa nasi tutaigawa Nchi yetu vipande vidogo vidogo vyenye kulingana na ukubwa wa Rwanda, tutaweza kuwafikia na kuwapita kimaendeleo katika sekta mbalimbali, Elimu ikiwamo?

Pia, nimewahi kumsikia kiongozi mmoja mkubwa akijenga HOJA kama ya ndugu Voice of Tanzania kwamba,

Mwalimu Nyerere katika utawala wake, aliweza Kutoa chakula mashuleni na huduma nyingine kirahisi sababu tulikuwa idadi ndogo kulinganisha na sasa tumeongezeka sana.

Maswali ya kujiuliza Watanzania,

1. Je, ni Kweli ukubwa wa Nchi yetu, ni kikwazo Kwa Serikali yetu kushindwa kupeleka maendeleo Kwa haraka?

2. Je, ni Kweli wingi wetu wananchi walipakodi ni kikwazo kikuu ya Serikali yetu kushindwa kutuhudumia wananchi?

Karibuni 🙏.
Mnazunguka mbuyu sana kwenye kujenga hoja.

Hapa tujadili kufeli kwa CCM kufikia malengo ya nchi, kila sekta ipo hoi
 
Hili suala la ukubwa wa nchi kuwa ni changamoto kwenye kuleta maendeleo Tanzania linazungumzwa kinadharia tu.
 
Mnazunguka mbuyu sana kwenye kujenga hoja.

Hapa tujadili kufeli kwa CCM kufikia malengo ya nchi, kila sekta ipo hoi
Ni Kweli usemacho,

Bt Elimu ni backbone- Lowassa.
 
Tulilishwa limbwata na CCM tukamtukana mzee wa watu ambaye kumbe alikuwa na nia njema kwa nchi yetu
Nia njema yake pia ni ya kutiliwa shaka,

Alipokosa alichokitaka kupitia upinzani, amerudia nyumbani.
 
Nchi ni KUBWA sana,( 900,000 plus KM za mraba), alafu hatuna bahati ya kuzichuma na kuzitumia rasimali vizuri. Tulipokuwa na idadi ya watu ndogo, tulitakiwa tusikosee Kufanya maendeleo, kama Botswana, Norway, Sweden, Finland na nyingine, lakini kwa sasa ni shida, idadi ya watu ni KUBWA, nchi ni kubwa, uongozi ni goigoi,tutateseka mpaka basi.
Idadi ikiongezeka, na tax base inaongezeka,

Tusipojua kiini Cha tatizo, tutapiga marktime na kupitwa na Kila Nchi.

Tujiulize, nini Hasa tatizo, la Serikali kushindwa kuhudumia wananchi?
 
Toa hio no 4 Sio kikwazo.
Population ni raslimali tosha maana unapata nguvu kazi pia ni soko la bidhaa
Sasa wanadai tupo wengi ndo sababu ya kushindwa kutuhudumia,

Je wanataka tupunguzwe idadi, au Nchi igawanywe vipande vidogo vidogo kimamlaka kama Serikali za majimbo Ili kutuhudumia kirahisi na kiukaribu zaidi?

Na ikiwa huo ndo UKWELI, why wanapinga Katiba mpya kuhusu Serikali ya majimbo?
 
Na CHADEMA Wana serikali inayokusanya Kodi Kwa wananchi Hadi wafanyike kikwazo?
Hapo kamkejeli tu mtoa mada sababu ccm si ndio huwa inasema chadema na vibaraka ndio wanakwamisha mipango 😂😂😂😂😂
 
Toa hio no 4 Sio kikwazo.
Population ni raslimali tosha maana unapata nguvu kazi pia ni soko la bidhaa
Alafu namba 6 aiweke namba moja alafu aandike kwa herufi kubwa then abold na font colour iwe nyekundu alafu awe anacopy na kupaste mpaka namba sita, then namba saba ndio vianze hivyo vitu vingine
 
Hapo kamkejeli tu mtoa mada sababu ccm si ndio huwa inasema chadema na vibaraka ndio wanakwamisha mipango 😂😂😂😂😂
Kwahiyo unakubaliana nami kuwa CCM na Serikali yake hawana Reason strong ya kushindwa kuipeleka Nchi hatua kubwa na za haraka kimaendeleo?
 
Alafu namba 6 aiweke namba moja alafu aandike kwa herufi kubwa then abold na font colour iwe nyekundu alafu awe anacopy na kupaste mpaka namba sita, then namba saba ndio vianze hivyo vitu vingine
Kwamba CCCM ni cancer?

Siamini Hilo, naamini Kuna cancer imeingia na kuiteka mifumo ndani ya CCM na sirikali,

Tusichome nyumba kuua nyoka, tumtoe nyoka ndani ya CCM na sirikali Nchi Ipone.
 
Kwahiyo unakubaliana nami kuwa CCM na Serikali yake hawana Reason strong ya kushindwa kuipeleka Nchi hatua kubwa na za haraka kimaendeleo?
Mkuu ccm hakuna jipya yamejaa majinga na mapumbavu, fanya research ya chini chini ulivyokuwa unasoma shule , watu uliosoma nao wale unaowajua ndio walikuwa wapumbavu wa mwisho yan mazezeta 70% wapo ccm , kwanini ? Sababu ccm ndio chaka la watu ambao hawana akili lakini wanapiga pesa kirahis au kwa lugha nyepesi mtu anaamuwa kuwa ccm sababu its easy to make it kwenye ccm hata ukiwa umefoji vyeti kama bashite….mimi sio mtu wa vya vyama ila ujinga wa ccm upo wazi sana man….sa mkuu hapo unategemea nini ?
 
Asee umenena,

Wengi nilowafahamu waliokuwa vilaza darasani, Mission town, walipoingia CCM siasani wametoboa haraka sana.

Mimi nadhani, tusijilaumu, kuwa nje ya mfumo, isiwe sababu ya kushindwa kuisaidia Nchi yetu,

Tushambulie tukiwa nje ya 18!!

Muhimu tusaidie Nchi ipate maendeleo, wakizidi kuziba masikio, tuingie ulingoni!!
 
Asee umenena,

Wengi nilowafahamu waliokuwa vilaza darasani, Mission town, walipoingia CCM siasani wametoboa haraka sana.

Mimi nadhani, tusijilaumu, kuwa nje ya mfumo, isiwe sababu ya kushindwa kuisaidia Nchi yetu,

Tushambulie tukiwa nje ya 18!!
Mkuu me kuna kazi namalizia then napumzika, tuombe uzima kesho ntakueleza how the system works na namna gani wana push agenda zao kwa kutumia taasisis za dedha na thats how they manipulate people na vijana, mashoga wengi na watu ambao hawana akili kichwan wanakimbiliaga huko ili wapate urais wa mambo. Wanachojali wao ni uchaguzi ujao tu na sio mambo mengine akishachaguliwa anapotea anasubir uchaguz ukaribie aje tena na kofia. Sheria za namna ya kuiendeshabhii nchi zinatakiwa zibalilike kuna vitu havipo sawa kabisaaa
 
Karibu na Asante sana Kwa mchango wako🙏
 
Nchi ni KUBWA sana,( 900,000 plus KM za mraba), alafu hatuna bahati ya kuzichuma na kuzitumia rasimali vizuri. Tulipokuwa na idadi ya watu ndogo, tulitakiwa tusikosee Kufanya maendeleo, kama Botswana, Norway, Sweden, Finland na nyingine, lakini kwa sasa ni shida, idadi ya watu ni KUBWA, nchi ni kubwa, uongozi ni goigoi,tutateseka mpaka basi.
Hii siyo excuse yenye nguvu. Kuna nchi kubwa kuliko yetu, na zina idadi kubwa ya watu kuliko sisi, lakini zimeendelea kuliko sisi.
China wanapiga hatua kubwa za kimaendeleo kuliko sisi, pamoja na ukubwa wa eneo na idadi kubwa ya watu.
Kuwa na idadi kubwa ya watu ni opportunity ya kuwa na idadi kubwa ya consumers, na hivyo kuwa na idadi kubwa ya walipa kodi. Kinachotakiwa ni kujenga uchumi imara utakawahusisha hao watu wengi kujipatia mapato na hatimaye kutumia sehemu ya income zao ktk kuendeleza huo uchumi kwa kununua vitu na kulipa kodi.
Ukubwa wa nchi au idadi kubwa ya watu ni visingizio tu. Tatizo letu kubwa liko kwenye UONGOZI na policies tunazofuata.
 
Idadi kubwa ya raia ni soko la bidhaa za ndani ikiwa tutazalisha bidhaa zetu ndani Kwa wingi.
 
Sasa wanadai tupo wengi ndo sababu ya kushindwa kutuhudumia,

Je wanataka tupunguzwe idadi, au Nchi igawanywe vipande vidogo vidogo kimamlaka kama Serikali za majimbo Ili kutuhudumia kirahisi na kiukaribu zaidi?

Na ikiwa huo ndo UKWELI, why wanapinga Katiba mpya kuhusu Serikali ya majimbo?
Tatizo ni ccm kutaka kuhodhi madaraka yote. Bado wana village mentality ya nchi moja,chama kimoja na SAUTI MOJA ala magufuli. Hii inawafanya wasitake kusikia mfumo wa majimbo. Wenyewe wanasema utaleta ukabila⁰( my foot). Nenda popote Utawakuta watanzania wa makabila tofauti, uki igawa Tanganyika na kuwa na majimbo kama kumi sioni hili Tatizo litatoka wapi. Itakuwa rahisi zaidi kufikisha huduma na majimbo yatashindana kuleta maendeleo. Viongozi watachaguliwa nwananchiwao, wakifurunda wanatolewa.
 
Back
Top Bottom