Je, Ukubwa wa Nchi yetu Tanzania ni kikwazo katika kuwafikia na kuwahudumia wananchi?

Je, Ukubwa wa Nchi yetu Tanzania ni kikwazo katika kuwafikia na kuwahudumia wananchi?

Tatizo ni ccm kutaka kuhodhi madaraka yote. Bado wana village mentality ya nchi moja,chama kimoja na SAUTI MOJA ala magufuli. Hii inawafanya wasitake kusikia mfumo wa majimbo. Wenyewe wanasema utaleta ukabila⁰( my foot). Nenda popote Utawakuta watanzania wa makabila tofauti, uki igawa Tanganyika na kuwa na majimbo kama kumi sioni hili Tatizo litatoka wapi. Itakuwa rahisi zaidi kufikisha huduma na majimbo yatashindana kuleta maendeleo. Viongozi watachaguliwa nwananchiwao, wakifurunda wanatolewa.
Kumbe Serikali ya majimbo yaweza kuwa suluhu.
 
Kwa hiyo umeamini jibu la huyo kiumbe!!!!
No sikubaliani naye,

RUSHWA, Ujinga nk nk yaweza sababu ya kuikwamisha sirikali,

Ingawa pia nakubaliana na muundo wa Serikali za Majimbo ambazo pia CCM inapinga.
 
No sikubaliani naye,

RUSHWA, Ujinga nk nk yaweza sababu ya kuikwamisha sirikali,

Ingawa pia nakubaliana na muundo wa Serikali za Majimbo ambazo pia CCM inapinga.
Ila Rabbon kuna swali nilikuuliza kwenye uzi fulani hivi uliuanzisha kuhusu Israel au Wayahudi hukutaka kunijibu. Fanya ujibu basi!!!
 
Salaam, Shalom!!

Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo,

Ni Lini Serikali ya CCM itanunua laptop Kwa Kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

Nilipotoa mfano wa Nchi ndogo ya Rwanda kuweza kuhakikisha wanafunzi wa shule za msingi wanapata laptop za kusaidia kujifunza darasani Ili kuendana na Kasi ya mabadiliko yanayotokea katika mfumo wa Elimu na teknolojia ya mawasiliano, alijibu kuwa, jambo Hilo limewezekana sababu Nchi ya Rwanda ni ndogo!!

Nilipohoji, ikiwa Udogo wa Nchi ya Rwanda ni fursa kupeleka maendeleo na mabadiliko ya kimfumo wa ELIMU nchini mwao, ikiwa nasi tutaigawa Nchi yetu vipande vidogo vidogo vyenye kulingana na ukubwa wa Rwanda, tutaweza kuwafikia na kuwapita kimaendeleo katika sekta mbalimbali, Elimu ikiwamo?

Pia, nimewahi kumsikia kiongozi mmoja mkubwa akijenga HOJA kama ya ndugu Voice of Tanzania kwamba,

Mwalimu Nyerere katika utawala wake, aliweza Kutoa chakula mashuleni na huduma nyingine kirahisi sababu tulikuwa idadi ndogo kulinganisha na sasa tumeongezeka sana.

Maswali ya kujiuliza Watanzania,

1. Je, ni Kweli ukubwa wa Nchi yetu, ni kikwazo Kwa Serikali yetu kushindwa kupeleka maendeleo Kwa haraka?

2. Je, ni Kweli wingi wetu wananchi walipakodi ni kikwazo kikuu ya Serikali yetu kushindwa kutuhudumia wananchi?

Karibuni 🙏.

Kwa "maendeleo" unamaanisha nini? Ili uendelee inatakiwa uweje?

Ulikuwepo wakati wa Nyerere au unakisia tu?

Hilo la walipa kodi sijakuelewa kabisa. Kikwazo kipi umekusudia?
 
Ila Rabbon kuna swali nilikuuliza kwenye uzi fulani hivi uliuanzisha kuhusu Israel au Wayahudi hukutaka kunijibu. Fanya ujibu basi!!!
Najaribu kuchek tkt thread zangu sioni comment ya swali lako,

Yaezakuwa niliandika kupitia thread za wengine ambapo ni ngumu kuipata,

Ungekumbusha msingi wa swali nikujibu.
 
Kwa "maendeleo" unamaanisha nini? Ili uendelee inatakiwa uweje?

Ulikuwepo wakati wa Nyerere au unakisia tu?

Hilo la walipa kodi sijakuelewa kabisa. Kikwazo kipi umekusudia?
Soma thread tena, Kisha soma comment zote 1-65 Kisha rudi kuuliza swali likiwa limeboreshwa zaidi.
 
Soma thread tena, Kisha soma comment zote 1-65 Kisha rudi kuuliza swali likiwa limeboreshwa zaidi.
Hatuendi hivyo kwenye mijadala ya social media. Nauliza yaliyopo post namba moja kabla sijwa "influenced" na maswali na majibu ya wengine, kama unaweza kunijibu nijibu, kama huwezi usijibu lakini huwezi kunifundisha namna ya kutumia social media.

Maswali yangu ni myepesi sana, narudia:

Kwa "maendeleo" unamaanisha nini? Ili uendelee inatakiwa uweje?

Ulikuwepo wakati wa Nyerere au unakisia tu?

Hilo la walipa kodi sijakuelewa kabisa. Kikwazo kipi umekusudia?
 
Hatuendi hivyo kwenye mijadala ya social media. Nauliza yaliyopo post namba moja kabla sijwa "influenced" na maswali na majibu ya wengine, kama unaweza kunijibu nijibu, kama huwezi usijibu lakini huwezi kunifundisha namna ya kutumia social media.

Maswali yangu ni myepesi sana, narudia:

Kwa "maendeleo" unamaanisha nini? Ili uendelee inatakiwa uweje?

Ulikuwepo wakati wa Nyerere au unakisia tu?

Hilo la walipa kodi sijakuelewa kabisa. Kikwazo kipi umekusudia?
Swali no3 at least Lina mantiki,

Idadi kubwa ya Watanzania, Kwa Serikali ya CCM ni mojawapo ya kikwazo katika kuwahudumia,

Wanadai, tungekuwa Wachache kama enzi ya Nyerere, ingekuwa hahisi kutufikia kupitia Kodi zetu!!

Karibu.
 
Kina nani "wanadai" na wanamdai nani?" Kutufikia" ili iweje, tuwalipe hao wanaodai?
 
Tatizo ni ugatuzi wa madaraka. Huwezikupata maendeleo kama Kodi ya uwekezaji inalipwa makao makuu. Mamlaka za mikoa hazina mapato,haziwezi kujenga hata km 100 za lami. Raslimali hazitumiki ipasavyo maana usimamizi na msimamizi Yuko serikali kuu. Serikali za mikoa zingeachwa zikusanye Kodi,zianzishe na kukusanya Kodi za uwekezaji.TRA wapewe gawio, mikoa kama geita ungekua mkoa namba 2 kimaendeleo baada ya Dar.
 
Sasa wanadai tupo wengi ndo sababu ya kushindwa kutuhudumia,

Je wanataka tupunguzwe idadi, au Nchi igawanywe vipande vidogo vidogo kimamlaka kama Serikali za majimbo Ili kutuhudumia kirahisi na kiukaribu zaidi?

Na ikiwa huo ndo UKWELI, why wanapinga Katiba mpya kuhusu Serikali ya majimbo?
Hata wakigawa hawakosi sababu
 
Population Sio kikwazo Cha maendeleo.
Mwalimu aliweza sababu aliachiwa pesa nyingi sana na wakoloni wakati ule ndizo alizozitumia kusaidia Uhuru nchi zingine na kupigana vita vya kagera.
Kuwapa wote laptop Sio ndio kutaboresha elimu.
Kama hizi nyimbo za kipumbavu zinaweza wafikia hadi vijijini vichakani huko, kwann wasiamue kupata Elimu bora.
Suala ni uamuzi na utashi tu wa watunga sera ndio uleta maendeleo.
Zanzibar ni ndogo mbona imeshindwa kuendelea kama Rwanda kielimu.
Nyerere hakuachiwa pesa yoyote na wakoloni, serikali huwa haziifadhi pesa kama anavyofanya mtu binafsi.
 
Nchi kubwa kama Tanzania bila mfumo wa kimajimbo ni vigumu sana kuendelea. Nchi zito kubwa zilizoendelea zimetumia mfumo wa majimbo
 
Back
Top Bottom