Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Kwa nyie wadada mlio tayari kuolewa ile first time mtu anakusemesha au anakutafuta privately kuwa nayo makini sana. Mwanaume haji private pasi na kuona au kuwaza chochote. Ktk hicho chochote unaweza kupata mwenza wa maisha.
Kuna comment kama 3 nimeziona zikimlaumu mtoa mada kuwa alitafutwa lakini hakutafutika. Inawezekana ni utani. Lakini waswahili wanasema kuwa makini sana na utani, sik hizi ukweli hupitishwa ktk utani.
 
Wise words!!!

Umewasadia sana,mwenye kuelewa ataelewa maana tamaa zinawaponza pale wanapotaka kuolewa na wanaume wenye nyumba wakati baba zao wamezeekea kwenye nyumba za kupanga au mume mwenye gari huku baba zao hawakuwahi kumiliki hata bicycle.
 
Early 30s' bado hakuna changamoto, relax utapata hitaji lako, tena unapata mtoto ukiwa matured!!
Wengine tulianza kuzaa kwenye early 20s' utoto ulikuwa mwingi sanaa
Hapana sis. Mwanamke akivuka 30s bila kupata angalau mtoto wa kwanza risks zinaanza kuongezeka; na 35 huko na kuendelea inabidi kuchukua tahadhari hasa katika mimba ya kwanza. Inashauriwa sana mwanamke mwenye ujauzito katika umri huu inabidi aende hospitalini mara kwa mara hasa kama ana changamoto zingine za kiafya kama ishu za moyo, presha, kisukari na mengineyo.

 
Sema mnatafuta pa kuficha madhaifu yenu 😂
Sisi wa 90s wenzenu mnatuogopa tushajipata kuwazidi so mnakuwa hamna cha kutupanga
Sio sisi ninyi mlitukataa wa 90's wenzenu tukiwa na miaka 20 na 21 na mlichukuliwa na wa 30 huko sasa now wote tupo 30 sisi inabidi tuchukue wale wa 20, 21 hii ni Circle huwezi ivunja...kilamtu anataka bora.
 
Sisemi ni mafataki, ni kioendacho roho, naheshimu machaguzi yao, ila nabaki najiuliza tu inakuwaje kuwaje, wanaanzaje na wanaishi vip! 😂🤣
Kiukweli vitoto siviwezi, yaani mtu namzidi miaka 5,10.. Haya mahusiano siyawezi
Lakini wao waliwza kuwa na mwanaume aliyemzidi miaka 5, 10 ila wewe ndio uwezi kuwa na mwanamke uliyemzidi 5, 10....mlinganganyo kama huu mwanamke ndio anaupenda through ni win win kwake akiwa kwenye Pick 20, 21 ana date na wenye pesa wa 30 akifika kashazeeka huko 30 anajiyafutia age mate wake kama wewe.

Mwanaume timamu awi na mwanamke mwenye umri sawanae unless kuwe na exceptional...
 
Umeliweka vizuri, sikuhizi ulimwengu hauwaonyi wasiofunzwa na mama zao ila unawasubiri uwafundishe adabu 😂
 
🙄
Early 30s ndio umri wenyewe wa ndoa. labda ungekuwa 40s uko kuwa na wasiwasi ingekuwa halali.
Cha msingi ukipata watoto hakikisha unawapambania ili wakifika 20s wawe na maisha yanayoeleweka.

Ila nikukumbushe ndoa tamu mwanzoni Yani ukimwambia mwenzio "nakupenda" unajibiwa kwa mahaba yote "nakupenda pia", wakati wa kuangalia movie mnakumbatiana.

Sasa kaeni miaka kama kumi hivi Yani wakati wa kuangalia movie ikitokea umepaliwa na popcorn mwenzako ndio kwanza anaongeza lisauti la tv,
Ata ukijamba kidogo kwa bahati mbaya mwenzako anajibu kwa kujamba kwa nguvu tena ile style kama muungurumo wa pikipiki.
Mara ujikute asubuhi unabishana na watoto ambao hawajajua ata kiatu kipi wavae kushoto kipi kulia.
Vurugu tupu.
 
This is powerful 🔋
 
Uongo wa Karne huu mkuu. Fanya upya research Yako. Kuwa JF na exposure ni vitu viwili tofauti. Lakini pia hizi kelele za mitandaoni zisikudanganye, wakiwa offline wengi ni wapole kama kobe, na Kila wanachoambiwa na wapenzi wao wanaitikia kwa adabu "ndio baba"
 
Make sure umezaa before 35 ili kuzuia compilations za uzazi,kwa mwanamke uzalishaji wa mayai unaanza kupungua . Pia kuna wanawake wanaingia menopause in their 30s, jitahidi kuchangamka kabla jua halijaanza kuzama.
 
Kubali kataa just ni mindset ilaile ya nabii hakubaliki kwao wewe na mimi kuwa hapa JF tunaonana wakawaida just kwasababu tupo na level moja ya Exposure fulani na uwelewa ila ni tofauti kabisa na Ordinary guy wa kitaa na hivyohivyo kwa wanawake hapa I don't need research just common sense tuchukue wanawake 10 hapa na tuchukue wanawake 10 mtaani ambao hawaijui kabisa JF wale 10 wa JF watakuwa na uwelewa zaidi kuliko hawa 10 wakitaa tu.
 

Tatizo mmekariri wanawake wote wapo after money

Tatizo ni moja tu tunawapenda hamna hela na bado mnatuumiza mioyo sasa mtu anaona ya nini kugandana na mtu msaliti na hela hana anaamua zake kuwa na mtu atakae muhudumia

Kingine vijana wa rika letu hawatuoi sisi wanaoa watoto wadogo

Hivi imagine kuna watu wameanza mahusiano since shuleni wana miaka zaidi ya 8 ila mwanaume mwisho wa siku anaoa binti mwingine kabisa tena mdogomdogo…

Nyie wanaume muwaoe hao munaowachezeaa single wapungue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…