Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana,unaogopaHuu uzi mbona huwa una trend mida ya night kali tu? Kuna jambo si bure 😂😂
Asilimia kubwa ya wanaopingaga uchawi basi ni wachawi wenyewe,siyo kwa Tanzania hiiWakupinga apinge ila wachawi wapo mtu ambaye anajidai hamna uchawi anaweza pia alishawahi kurogwa na hata asijue anakazana tu uchawi haupo
Kwanini wanawake wengi wanapenda uchawi, asirimia kubwa mwanawake?Na Mchawi mwanamke ni katili maradufu kuliko Mchawi Mwanaume .
Na ndio maana Imeandikwa mahususi “ asiachwe mwanamke Mchawi kuishi” maana yake auliwe, auwawe.
Mchawi mwanamke ni katili kupita maelezo.
Mungu awahukumu
Na kuwaangamiza na vizazi vyao s
Kama ulivyoandikwa
Hapa mtaani kuna kamjamaa kana familia ni kashirikina hatari! Kanaloga hata kijijiMchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari
EPUKA MIKUSANYIKO YA KUPANGA ✅✅Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari
Frustration hizi 🫤🫤🫤🫤Kwenye 'R' unaweka 'L' nikaona we nawe ni zombi tu na bandiko lako la kijinga, nikaishia njiani huwezi kupoteza muda kumsoma tahira
Mkuu ungejadili hoja badala ya kumshambulia mleta hojaPole mkuu labda hujaishi vijijini na umri wako bado nahofia, na bado upo nyumbani kwa wazazi, bado hujaanza harakati ya kutafuta maisha na mali. Ukiaza hapo ndo utajua uchawi upo ?
Wewe unajua maana ya kusadikika, kukihisi kitu ambacho hakionekani make uchawi ni jambo jingine kabisa na linathibitika, mchawi anaweza kufanya kitendo na huku na ww unaona na kikathibitika?Mkuu ungejadili hoja badala ya kumshambulia mleta hoja
Tunaonglea kuhusu FACT hapa mkuu hatuongelei uzoefu wa maisha
Uchawi na imani za Mungu ni ngano za simulizi za kusadikika kama zilivyo hadithi za sungura na fisi au hekaya za Bulicheka
NO PROOF