cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
- Thread starter
- #161
Haya bwana hatukupenda kulogwaHayajanikuta sababu hayapo. Yapo kwenye vichwa vya wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bwana hatukupenda kulogwaHayajanikuta sababu hayapo. Yapo kwenye vichwa vya wajinga
bila shaka wewe ni msukumaMchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari
Kweli kabisa mkuu,kwetu wameuliwa karibia wote ukoo wa baba.
Baba alienda namimi nilikoswakoswa
Akagusa pabaya baada ya kummaliza bibi ndo akapigwa na vitu vizito toka kwa Mungu kaenda mwenyewe kanisani kutaja aliowaua.7 total
Ni mama mdogo,muimba kwaya mzuri tu,mpole sana ,nadhifu lakini mchawi wa kurithishwa
Don't have magical beliefsMchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari
Mimi siyo kiboko ya wachawi wala sina uganga,nasimulia jamii inayoyapita ndiyo maana nawaelekeza watu waende Kwa Mwamposa na mimi ndiko nilikoponea kama siyo yeye sasa hivi ningekuwa msukule,Sawa kiboko ya wachawi
Wachawi wengi ni wanawake asilimia ndogo sana kukuta wachawi wanaume,na mchawi mwanamke anaweza kuishi miaka mingi pasipo mumewa kujua,kama mkewe ni mchawi,atakuwa anauwa watoto huku anamuacha mumewe na majonzi makubwa, si mnajua uchungu wa kufiwa, itafikia wakati anawarithisha uchawi mpaka watoto zake wa kike lakini mume hajui chochote kinachoendele,na wanaweza kusaidiana na watoto zake wakamuuwa mpaka mume mwenyewe
Siyo kwa mchawi bila nguvu za usaidizi za watu wa Mungu anapita na wewe,kuna watu wako kwenye nyumba za ibada ni washika dini wakubwa,wanamiliki misukule wengi sana mpaka inasikitisha ni wachawi wakubwa na wanajuana na wanasaidiana kufichiana Siri zaoKwanza Anza kuishinda hofu vingine vyote ni vyepesi
Pole sana mkuu mwanamke akishika uchawi ni hatari sana ni vile hatuna muda lakini tukiandika hapa kuhusu uchawi unavyofanya kazi na yaliyotukuta watu watalia humu kabisa, Uchawi ni mbaya sana usikie tu kwa kuhadithiwa,Ni mpumbavu na mchawi pekee ndio watakubishia kwamba uchawi haupo.
My true Story;Nilikuwa na mahusiano na binti flani.
Nikatuma wazee kwao,posa ikapokelewa na mahari ¼ nikalipa.
Ngoma ilianza nilipoenda kujitambulisha weee.
Nilianza kuporomoka kiuchumi ghaflaa.
Kisha kazi nikaacha tena kwa kutoroka maana boss hakutaka niondoke.
Nikafarakanishwa na wazazi,ndugu jamaa na marafiki.
Nikiwa bado naishi na binti yao,walinitenga wote kasoro baba mkwe tu.
Kila nilichojaribu kilikufa iwe biashara ama kazi.
Nikapata fununu kwamba mlango nilioingia sio kabisa,Mama mkwe ni mchawi balaa....nikapuuza.
Lakini mama mkwe alikuwa na kawaida ya kuuliza "Mwanangu umesema ndoa mtafunga linii vilee".....Nikimtajia anasema Sawa kisha ndo imetoka hiyo hakuna ndoa itafungwa na yeye haulizi tenaa mpaka mwaka unaisha.
Nikafilisika nikaishiwa kabisa nikaanza kuwa kama chizi.
Niliokolewa na dada mmoja wa kichaga,alikuwa ananifahamu kitambo...alivyoniona akasema nooo huyu sio ww ninaekujua.
Akanipeleka Sanya juu toka dar nakumbuka ilikuwa msimu wa pasaka magari shidaa.
Huko nikakutana na babu wa Kitanga akanitibu nikapona ila akanionya mlango nilioingia wa upande wa pili sio.
Nikakaza shingo,aisee niliishiwa mpaka nikawa navaa 👖 👕 za mwanamke wangu.
Baada ya miaka 7 baba yangu akasema inatosha,twende kwenye chimbuko lako walikolala mababu na mabibi zako.
Tukafanya yetu ya mila,baada ya kutoka huko nikawa naandamwa sana na wachawi ila kwenye ulimwengu wa ndoto tukipambana nataja jina la Yesu.
Nilikutana na Ustadhi mmoja akanambia yeye ni mtabibu na natibu watu wakubwa wenye nyadhifa kisha akasema "Wacha kwenda kwa waganga"...unaliwa pesa buure wewe ukifanya sala inatosha.
Nilianza kusali,nikaomba Mungu anirudishie vilivyopotea na cha kushangaza cha kwanza niliachana na ile familia kwa namna rahisi saana. Nikamuaccha mwanamke na kila kitu.
Siku hizi nasali na naombea wengine na Mungu anajibu.
Uchawi upo ila Mungu ndio kiboko yao ukiwa na imani.
Nimefupisha sana, kiukweli nilikula msoto hevy kabisa. Sishangai shinyanga wakicharanga mapanha mchawi.