Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye alilisishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kulisishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwalisisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mala nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina hukue ukweli
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kuludiludi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatali