Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
bora niroge kuliko kwenda kupakwa pdidy oil
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hatajitambua hivyo tiyari yeye atajijua ni mtu wa tofauti, ni mchawi maana ya 'neno' kuamuru ni nguvu yenye uwezo ulionao, na unaufahamu ?Uchawi ni kitendo cha mtu kuwa na nguvu ambazo hazionekana kwa macho,na nguvu hizo siyo za kawaida,mfano mtu anaweza kuamuru fulani afe,mvua inyeshe,kumtia maradhi mtu na mengineyo
Yaani ni kama useme kichaa ajitambue kwamba yeye ni kichaa.Mimi nashindwa kuelewa mchawi asijijue kwamba, yeye ni mchawi, kwani maana ya uchawi nini?
Unalamisha sasaKama hatajitambua hivyo tiyari yeye atajijua ni mtu wa tofauti, ni mchawi maana ya 'neno' kuamuru ni nguvu yenye uwezo ulionao, na unaufahamu ?
Wewe umezaliwa wapi kwanza? Na umri wako kwa sasa?Mwandishi ni mbaguzi sana uchawi unavyoelezea hapo haupo.hakuna anapaa kwenye ungo wala kuroga mtu usiku.Mwaandisha haamini sayansi.
Kweli kabisa!Mimi sijakulenga wewe, lakini kama hujui kuna watu wamekufa ndugu zao hawajawahi kwenda kuhani misiba kwao sababu wanaogopa kulogwa,hii Tanzania kubwa
Watakao kosoa hili bandiko, ujue na wao ni wachawi wa tesa watu, na uchawi uko aina mbili?Vipi unaona kama hadithi ya kutunga? Ok Najalibu kuionyesha jamii maisha ya giza inayoyapitia ya uchawi,
mimi sijapitia ila niko Shule nafundishwa,
Faida kwangu ipo,ukishajua hesabu za mchawi utajua ucheze naye Vipi kumkwepa,
Kuna siri nyingine wazungu bila kutufanyia hv sisi tulikua tunaelea kwenye, ugunduzi wa binadamu kutokufa, mara moja kama sahz ilikua binadamu kufa mara mbili ndo mwisho hapahapa duniani, lkn ilikua lazima afanyiwe, himaya.Unajua wazungu walipofika barani Africa, kwanza walihakikisha wanakata connection kati ya mtu mweusi na mababu zetu waliotutangulia kupitia dini. Tungekua na mawasiliano Bado, huu uchawi ndio ungetupeleka mbali. Hawa wangetupa knowledge za kichawi kupitia ndoto juu ya nini Cha kufanya katika material world. Wao wazungu Bado Wana connection na Newtown, Plato, Tesla. Ila huku kwetu wangetuambia kwamba hiyo ni miungu.
Tuliachiwa uchawi bila kupata maguiders wa Ile uchawI. Kilichobaki ni kulogana tu
Dalili za kurogwa haujatuwekea bro.....Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari
Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi

Mimi natoa elimu yangu ndogo niliyokuwa nayo sina uwezo wa kutibu mtu,ningekushauri tu kwa ajili ya tiba namkubali sana Mwamposa yule ni Mchungaji wa kweli kabisaDalili za kurogwa haujatuwekea bro.....
Na namba za mtaalamu umesahau.
Mkuu mi nimelogwa kwahiyo niende kwa mwamposa....Mimi natoa elimu yangu ndogo niliyokuwa nayo sina uwezo wa kutibu mtu,ningekushauri tu kwa ajili ya tiba namkubali sana Mwamposa yule ni Mchungaji wa kweli kabisa
Kuhusu dalili za kulogwa ndugu yangu wachawi wana siri kubwa,fikiri hapo ulipo unajiona uko powa,lakini mchawi anaweza kukitumia kivuli chako kwenda kuloga watu wengine na ikajulikana wewe ndiye unayewaloga
Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari
Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi
Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi kumbe ni mchawi na wewe usijue,
Mnaweza kuwa mnafiwa na ndugu zenu hasa wa kiumeni, kina kaka kumbe wanaliwa na Mama yenu mzazi na nyie msijue, mara nyingi wachawi hawauwi watu wa hasara katika familia kama walevi, mateja bali huuwa wale wa maana wenye kipato
Mchawi kuharibu mimba za watoto zake,huwafunga uzazi na mambo chungu nzima
Mchawi anaweza kukutia ugonjwa na vipimo vya hospitali vikathibitisha kabisa wewe mgonjwa
Ukiona kuna dalili yanayosemwa na watu kama mama au baba, dada, kaka ni wachawi, jalibu kufuatilia kwa kina uujue ukweli ili
Kuepukana na uchawi kaa mbali na familia, usipende kutafutia maisha ulipozaliwa, usipenda kurudurudi ovyo nyumba, epuka mikusanyiko ya kupanga kama vile arobaini sijui, matanga ni hatari
Haya jawahi kukukuta wewwAcha imani za kijinga
Haya jawahi kukukuta weww