Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

Sasa Hawa wachawi huwa wanapata faida ipi kwa hayo maafa yote wanayoleta kwa famili zao na jamii?
 
Dah, hado loho imeshituka. Huwa najikuta mala kwa mala naota naludi hukoo, kumbe tayali?
 
Muulize bos wako hapo anaishije Hadi leo baada ya kukalia kiti!!
Kama uchawi haupo walokole wanakemea mapepo ya nini kama hayapo!!?

Maana wachawi ni hao wapunga mapepo ambao hasta kwenye biblia yako imeandika"usiache mchawi akaishi"!!
kama yupo nae ni maskini wa roho na mtumwa wa mahirizi na tunguli tunguli huku kavaa tai🤣
 
Unajichanganya. Mleta mada unazungumzia uchawi na siyo imani wala ulozi.

Unaweza ukawa mchawi na usijijue kama wewe ni mchawi, lakini unaweza ukawa na imani ya Kikristo na ukajijua kwamba wewe ni Mkristo.
Hujui kama kuna wachawi wakubwa kila siku hawakose kanisani, tena wengine mpaka ni Viongozi na wengine mapadiri na maaskofu,na mashehe pia
 
kama yupo nae ni maskini wa roho na mtumwa wa mahirizi na tunguli tunguli huku kavaa tai🤣
Wafalme kina sauli walienda kwao kujua hatma ya tawala zao pale Mungu aliponyamaza kupitia manabii"neno la bwana liliadimika wakati huo" ndio waonaji wakawa wanachukua point tatu!
 
Ww ni msukuma bila shaka,usirud ulipozaliwa ili iweje?
 
Mchawi ni mbuzi tu. Anakula majani anakunya karanga
 
Dah, hado loho imeshituka. Huwa najikuta mala kwa mala naota naludi hukoo, kumbe tayali?
Na unapokwenda usije ukawapa taari
Hongera bwana na mshukhuru Mungu kwa hilo,Lakini usiseme hayapo na mara nyingi wachache sana wanaopata pesa bila kutumia waganga,na hujipiga makinga hukohuko au na wao ndiyo wachawi wakubwa wakutoa kafara ndugu zao
Kwa hiyo uchawi hauna tajiri wala maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…