Yaan we acha dina nilitamani hata muhudumu angekausha tuNingekuwa mhudumu ningecheka mpaka nikaanguka
Yaan we acha dina nilitamani hata muhudumu angekausha tu
Haha hahaha hahaha mzee baba umeuaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna binti aliagiza mabia bar kwa kunikomoa .sasa mfukoni nikawa na buku ten tu bill ikaletwa kama 35 elfu.enzi hizo ni ela mingi. nikavizia kaenda toilet nichukue handbag yake nichomoe ela tushare pamoja bill.akanifuma naingiza mkono kwenye mkoba.nilipata aibu ya mwaka.nafwaaa
kuna binti aliagiza mabia bar kwa kunikomoa .sasa mfukoni nikawa na buku ten tu bill ikaletwa kama 35 elfu.enzi hizo ni ela mingi. nikavizia kaenda toilet nichukue handbag yake nichomoe ela tushare pamoja bill.akanifuma naingiza mkono kwenye mkoba.nilipata aibu ya mwaka.nafwaaa
Daah bonge la msala jamaa[emoji23][emoji23]... Pole sanaMimi menitokea juzi kati wife alinipa card yake ya benki nichomoe kiasi kadhaa kwa ajili ya mambo flani, nikabaki nayo akaniambia niendelee kukaa nayo suppliers wake wakihitaji nichomoe niwatumie yeye yupo tyt, afu akanidanganya kuwa miamala yake haiji kwenye simu namba anayotumia hajaweka mobile banking, daah weekend hii hapa nna vikundi vya kutosha, gambe, betting baharia nimekwama nikawa nnachomoa 50k, laki moja, mbili, tatu n.k mpaka kikao cha mwisho jumapili nishavuta 1.3m nikajua siku mbili tatu narudisha hata hajui, narudi home ananionyesh texts zote za miamala anataka maelezo daah niliona noma sana, nikaaga kwanza
Mimi ilinikuta kanisani mchungaji(RIP) akaniita mbele ya waumini halafu zipu iko wazi mambo ya ndani yanaonekana.Nakumbuka iyo siku nimetoka kukoga na futa geto limeisha ikabidi nivae suruali fasta nifate mafuta duka lilipo jirani na nipoishi,nikavaa na kuchomoka haraka nilipofika dukan nikakosa mafuta niliyokuwa nahitaj nikazingunga kama maduka3 hivi yalipo mbali kidg nikapata duka moja wapo sasa ile narud tu home ile nataka fungua kifungo cha suruali kujicheki maeneo ya zipu kupo wazi na jimuwa linaonekana kabisa live bila chenga,nikakumbuka kuna baadhi ya maduka niliyopita kuna kinadada walikuwa wakiangua vicheko pacpo mimi kujua nn kiliwafurasha.....OGOPA SANA KUSAHAU KUFUNGA KUFULI.
Daah bonge la msala jamaa[emoji23][emoji23]... Pole sana
Umefanya jambo la maana sana kurudisha... Hapo atakuwa amekukasirikia tu jinsi ulivyoenda beyond makubaliano.Asante kaka, sikua na maelezo ya kutosha mpaka leo hii amenuna japo nimerudisha kiasi nitamalizia
Duuuu comments zote nimezimaliza,huu uzi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duh, mie nakumbuka kipindi hicho nipo na watasha sasa nikawa natakiwa ni present nilivyofika kwenye FAQs, mie niliwatukana kwa ku spell ****...sema kuna mdada kwa sasa yupo boston ndo alinisaidia kuitamka kwa kirefu.
Hahaha Daaah..!!Siku moja nilikua napiga puri/nyeto,ile namalizia tu bao namsikia Bimkubwa dirishani ananambia"Baba fanya uoe utakuja kutubaka humu ndani"Nilizimia masaa2000
Daah aliwakomesha[emoji3][emoji3]Mie siku moja tulikuwa na staff mwenzangu tukawa tunamsengenya dada tunayefanya naye kazi, huyo dada alikuwa anazaa mfululizo yaani kila mwaka!!! Sisi tulikuwa kwenye ka room Fulani tunamsema kwa raha zetu, kumbe mwenyewe amekuja muda mrefu sana anatusikiliza, tulivyogeuka tukagonganisha macho, akasema maneno haya "MMEMALIZA KUNISEMA"? loooh! aibu kweli
Sasa ulikuwa unakimbia nn? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]siku moja nikiwa china tumeenda shopping nikawakimbia masela , nikaingia kwenye mall moja kubwa sana nikapanda lift huyo hadi maduka ya ghorofani... nimemaliza shopping nikapotea na nisijue pa kutokea na huku nje jamaa wananitafuta kuona hawanipati wakatoa taarifa polisi then wale polisi wakawataarifu wenzao waliomo ndani ya ile mall kuwa wakiona black man wam'escort to the exit. Kimbembe kimekuja hapa sasa, askari alivoniona akawa anakuja na mm nikaanza kumkimbia aisee tulitimuana mle ndani sitakaa nisahau. Mpaka nimechoka jamaa akanipeleka kwa masela huku nimepata aibu ya karne
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kama hii issue ni kweli. Mkuu ulikuwa na wakat mgumu sana kukutanisha macho na bo mkubwa baada ya ili tukioSiku moja nilikua napiga puri/nyeto,ile namalizia tu bao namsikia Bimkubwa dirishani ananambia"Baba fanya uoe utakuja kutubaka humu ndani"Nilizimia masaa2000