The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Mimi menitokea juzi kati wife alinipa card yake ya benki nichomoe kiasi kadhaa kwa ajili ya mambo flani, nikabaki nayo akaniambia niendelee kukaa nayo suppliers wake wakihitaji nichomoe niwatumie yeye yupo tyt, afu akanidanganya kuwa miamala yake haiji kwenye simu namba anayotumia hajaweka mobile banking, daah weekend hii hapa nna vikundi vya kutosha, gambe, betting baharia nimekwama nikawa nnachomoa 50k, laki moja, mbili, tatu n.k mpaka kikao cha mwisho jumapili nishavuta 1.3m nikajua siku mbili tatu narudisha hata hajui, narudi home ananionyesh texts zote za miamala anataka maelezo daah niliona noma sana, nikaaga kwanza