Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
binti kaja anaanza kupanic ."unafanya nini kwenye pochi" alafu anaropoka kwa nguvu hadi watu wote wakageuka .bonge ya msala. unabaki na kigugumizi tu mmmmh mmmh
Hahaha...kwa hiyo bill iliishaje mkuu
 
Hahahahaha...hii kiboko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
dah niliua Soo kiume mkuu.yule binti hamu ya kumgegeda yenyewe ilikata nikamwambia apotee maana niliona hawezi nipa msaada zaidi kuendelea kuniabisha.nikamvuta manager pembeni nikamwambia baki na simu yangu nikakuletee pesa yako.hahah
Ulikutana na manager mwelewa. Mimi huyo maza wa kahawa ile kujua tu sina pesa ya kutosha akakaza sura aka aliweka wa meee.
 
Nlikuwa mwoga wa mademu knoma... Siku moja manzi ametukuta kijiwe akaanza kutoa hi kaanzia kushoto wote anawapa mikono then anawambia mambo? Me woga woga wangu nkamwambia mambo af nkadakia mwenyewe poa poa.... Wana walicheka sana... Ilikuwa mashine 3 iringa cji sahau
 
Khaaaa ahsante kwa kunichekesha jioni hii

C.c kui espy
 
Ukubwani mnakuwaga viwembe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…