sandraeli
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 1,431
- 2,392
Me sio mtukutu[emoji12]Fanya kutuongezea basi na wewe hata vimiaka 2..kwa yaliyowahi kukukuta..
Thank you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me sio mtukutu[emoji12]Fanya kutuongezea basi na wewe hata vimiaka 2..kwa yaliyowahi kukukuta..
Thank you
ha ha ha ha hap pana ukwel acha nijaribuusimsikilize
kumbe hii ndio mbinu @Shunia nakuja sa hv
nimeifunga kwa woteunaeza kua umefunga kwa wachache kama sie
hahahhhh Bonny huyu Daby sio mtu mzr kabisa
ujaribu niniha ha ha ha hap pana ukwel acha nijaribu
nifungulie then ntakupa mkasa wangu kwa pmnimeifunga kwa wote
ujaribu nini
nauza nn sasa uko pm mpk mpesakumbe hii ndio mbinu @Shunia nakuja sa hv
Ha ha ntakuja kukuhadithia ikitokeaSiku yako bado...
Na utakuwa mpole kama upo labor
tupe ya kwakoAsante mtoa mda kwa kutuongezea siku za kuishi,huu uzi unaondoa stress mana ni vicheko tu
nipo mlangoni kwakokufunguliwa
nifungulie then ntakupa mkasa wangu kwa pm
Anza na yako mana we ulivo mtukutu najua hukositupe ya kwako
kumbe karibu iko waznipo mlangoni kwako
Ahahaha...mkuu mimi kuna hii niliisahauMh Mimi nakumbuka mbili matata,
1:Nikiwa kwenye mazishi boma ya ng'ombe chalii yetu form six alitutoka,sasa kishuashua misosi inapigwa mfumo wa bufee,aisee nipo front line kabisa nyuma watu ni NYOMI sabuni ikanishinda kupress ili itoke nimezoea home unapress wall ya chupa,sasa ile ni kizibo chake,aisee jamaa kiherehere likaja likanisaidia niliboreka japo lilinisevu.
2:Mlimani city pale CRDB bank,nimekosea deposit kujaza sasa inabid nikitupe kikaratas katika dustbin,***** sioni pakutumbukizia hakuna hata mahali unapress,nikakibana hadi midamida,nikaona Mdada anarusha kikarat bila kupres mahali,aisee ile noma kumbe ina sense yenyewe ukirusha hufunguka,noma sasa!
NB:USHAMBA 2everyone we differ in extents