Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Mh Mimi nakumbuka mbili matata,
1:Nikiwa kwenye mazishi boma ya ng'ombe chalii yetu form six alitutoka,sasa kishuashua misosi inapigwa mfumo wa bufee,aisee nipo front line kabisa nyuma watu ni NYOMI sabuni ikanishinda kupress ili itoke nimezoea home unapress wall ya chupa,sasa ile ni kizibo chake,aisee jamaa kiherehere likaja likanisaidia niliboreka japo lilinisevu.
2:Mlimani city pale CRDB bank,nimekosea deposit kujaza sasa inabid nikitupe kikaratas katika dustbin,***** sioni pakutumbukizia hakuna hata mahali unapress,nikakibana hadi midamida,nikaona Mdada anarusha kikarat bila kupres mahali,aisee ile noma kumbe ina sense yenyewe ukirusha hufunguka,noma sasa!
NB:USHAMBA 2everyone we differ in extents
 
Mimi nakumbuka kuna siku nipo darasa la saba naendesha baiskeri phonex yale makubwa sasa nilikuwa nimevaa suluar pana chini ile nimefika kilabuni nataka kushuka tu ule mguu wa kushukia suluari ikajishika sehemu ya kuwekea pampu ya kujazia upepo ,nikaanguka chini ilikuwa aibu nainuka nikachukua baiskeli nikasepa watu walikuwepo lakin sikuwaona watu kwa aibub
 
Mh Mimi nakumbuka mbili matata,
1:Nikiwa kwenye mazishi boma ya ng'ombe chalii yetu form six alitutoka,sasa kishuashua misosi inapigwa mfumo wa bufee,aisee nipo front line kabisa nyuma watu ni NYOMI sabuni ikanishinda kupress ili itoke nimezoea home unapress wall ya chupa,sasa ile ni kizibo chake,aisee jamaa kiherehere likaja likanisaidia niliboreka japo lilinisevu.
2:Mlimani city pale CRDB bank,nimekosea deposit kujaza sasa inabid nikitupe kikaratas katika dustbin,***** sioni pakutumbukizia hakuna hata mahali unapress,nikakibana hadi midamida,nikaona Mdada anarusha kikarat bila kupres mahali,aisee ile noma kumbe ina sense yenyewe ukirusha hufunguka,noma sasa!
NB:USHAMBA 2everyone we differ in extents
Ahahaha...mkuu mimi kuna hii niliisahau
Wakati ATM ndiyo zinakuwa mashuhuri hapa tauni mzee alikuwa anamwagiza bro akachomoe mkwanja. Sasa mimi si nikawa naenda nae nasimama mbali maana kwenda wawili si hairuhusiwi may be unasaidiwa.

Siku moja nikapata emergency mzee hayupo then natakiwa nimfuate Tanga. Akaniambia nichukue ATM nikachukue angalau nauli kidogo.

Ishu Ikaja nina kadi ya NMB then nikaenda machine ya DTB..[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimezuia foleni ya watu huko kila nikiingiza kadi inaleta mapicha picha. Hadi Askari akaja akaniambia tatizo nini? Nikamwambia haisomi akanipeleka ndani. Ile officer wa DTB anaangalia anakuta nina kadi ya nmb alikasirikaaa akataka kunizabaaa nilichomooka ndukiiii [emoji23][emoji23][emoji23] watu wote benki wakawa wananiangalia navyopotea
Niliaibikaaa saana siku hiyo aseeh
 
Back
Top Bottom