Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Nilivaa headphones halafu nikajamb.a kwa sauti mawazo yangu eti watu hawasikii kwa sababu mimi sisikii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenichekesha nomaMimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever
Haaaaaaaaah hii nmecheka haaaaaahAhahaha...mkuu mimi kuna hii niliisahau
Wakati ATM ndiyo zinakuwa mashuhuri hapa tauni mzee alikuwa anamwagiza bro akachomoe mkwanja. Sasa mimi si nikawa naenda nae nasimama mbali maana kwenda wawili si hairuhusiwi may be unasaidiwa.
Siku moja nikapata emergency mzee hayupo then natakiwa nimfuate Tanga. Akaniambia nichukue ATM nikachukue angalau nauli kidogo.
Ishu Ikaja nina kadi ya NMB then nikaenda machine ya DTB..[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimezuia foleni ya watu huko kila nikiingiza kadi inaleta mapicha picha. Hadi Askari akaja akaniambia tatizo nini? Nikamwambia haisomi akanipeleka ndani. Ile officer wa DTB anaangalia anakuta nina kadi ya nmb alikasirikaaa akataka kunizabaaa nilichomooka ndukiiii [emoji23][emoji23][emoji23] watu wote benki wakawa wananiangalia navyopotea
Niliaibikaaa saana siku hiyo aseeh
Oasis pa kawaida sana mbona kumbe pana Bei hivoRai don't you believe kuna hotel za bei hiyo bongo??
Oasis ya morogoro navyoongea now kahawa 1 cup ni 4500. Na ni hotel ya kawaida saana kwa wanaoifahamu...
sipatagi picha mapozi na mikao yako huwaga ikoje coz nikiangaliaga hiyo picha naiishia ??????.Hahahahh acha nikucheke tu
hiyo picha sio mmsipatagi picha mapozi na mikao yako huwaga ikoje coz nikiangaliaga hiyo picha naiishia ??????.
OK OK OK binti wa kitanzania.hiyo picha sio mm
umenichekesha sana! ulikuja kumtongoza vipi tena?Likizo ya mwezi wa sita form three mzee alinipa kazi ya kulipia mambo yake TRA, kama mnavyokumbuka mwanzoni mwa 2000's kulipia TRA ilikuwa na milolongo mingi sana mtu ukiwa bize unaweza ukazira. Kwa hiyo mzee alinipa ya usumbufu pamoja na rushwa.
Basi nilipomaliza kila kitu nikawa nimebaki na chenji ya kutosha kabisa. Siku hiyo nimetoka TRA narudi hom, njiani nimekutana na classmate nammezeaga mate sana nikasema leo nina nyenzo nang'oa huyu mtoto.
Tukasalimiana nikamkaribisha kwenye hoteli jirani hapo tule lunch wala hakuvunga. Msosi ukaletwa chips kuku nusu mara mbili bonge la advataizi, niksona hapa ndo wakati wa kuchomekea kama JPM. Ile sijamaliza hata mistari yangu mtoto akasimama kwa hasira akaanza kunifokea kwa sauti kali sana. Hapo meza zote zimejaa wafanyakazi wamekuja lunch wote wamegeuka wanashangaa hawa watoto vipi! Mimi hata cha kujibu sina mate yamekauka. Nakumbuka maneno machache tu "yani vichipsi vyako ndo unitongoze?" mengine sikusikia kwa kweli. Akaondoka zake mimi sielewi cha kufanya, akaja dada mmoja mhudumu na mfuko akaniambia lipia mdogo wangu tukufungie.
Sikutongoza tena hadi form five na huyo huyo akawa girlfriend wangu wa kwanza.
Haha study tour mkuu. Nilikuwa na hasira naye vibaya sanaumenichekesha sana! ulikuja kumtongoza vipi tena?
Bora wewe hivyo, mwalimu wetu alikuwa anatuonyesha namna ya kuchuchumaa ili tuumie zaidi suruali yake ikachanika vibaya sana hadi boxer inaonekanaMimi ninayokumbuka ni hii moja!
Kipindi hicho nasoma o'level nikateuliwa niwe kiongozi wa chakula wa muda......
sasa ile sysytem ya kupanga mistari chakula cha jioni nikakuta wapo wamerundikana tu wasichana wengi......nikatoka na masifa yangu huko nikarusha teke ili watawanyike!
Sasa nilikua nimevaa jeans sijui nini kilitokea wakati nanyanyua mguu nikakosa balance, nikabamiza kidevu chini.....lol
kidogo nishindwe kuinuka pale chini
niliumia kweli mpaka leo nina alama ila niliaibika kweli!
utoto shida sana
Bora wewe hivyo, mwalimu wetu alikuwa anatuonyesha namna ya kuchuchumaa ili tuumie zaidi suruali yake ikachanika vibaya sana hadi boxer inaonekana. Halafu ni mwalimu mnoko pata picha tulivyoshangiliaMimi ninayokumbuka ni hii moja!
Kipindi hicho nasoma o'level nikateuliwa niwe kiongozi wa chakula wa muda......
sasa ile sysytem ya kupanga mistari chakula cha jioni nikakuta wapo wamerundikana tu wasichana wengi......nikatoka na masifa yangu huko nikarusha teke ili watawanyike!
Sasa nilikua nimevaa jeans sijui nini kilitokea wakati nanyanyua mguu nikakosa balance, nikabamiza kidevu chini.....lol
kidogo nishindwe kuinuka pale chini
niliumia kweli mpaka leo nina alama ila niliaibika kweli!
utoto shida sana
umenikumbusha niliingia kwenye nyumba mona hiv kwa rafik yangu sa tumemaliza kula nikaoshe mikon hand wash naiona ila kila nikiangalia pa kuminya sion ile nachezesha mikon na kusogeza si ikamwagika chin kiasi kumbe ile ina sense dahh niliona soo ila ndo nikajua kumbe naweka mkon kwa chin kiti kinatoka chenyewMh Mimi nakumbuka mbili matata,
1:Nikiwa kwenye mazishi boma ya ng'ombe chalii yetu form six alitutoka,sasa kishuashua misosi inapigwa mfumo wa bufee,aisee nipo front line kabisa nyuma watu ni NYOMI sabuni ikanishinda kupress ili itoke nimezoea home unapress wall ya chupa,sasa ile ni kizibo chake,aisee jamaa kiherehere likaja likanisaidia niliboreka japo lilinisevu.
2:Mlimani city pale CRDB bank,nimekosea deposit kujaza sasa inabid nikitupe kikaratas katika dustbin,***** sioni pakutumbukizia hakuna hata mahali unapress,nikakibana hadi midamida,nikaona Mdada anarusha kikarat bila kupres mahali,aisee ile noma kumbe ina sense yenyewe ukirusha hufunguka,noma sasa!
NB:USHAMBA 2everyone we differ in extents
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna binti aliagiza mabia bar kwa kunikomoa .sasa mfukoni nikawa na buku ten tu bill ikaletwa kama 35 elfu.enzi hizo ni ela mingi. nikavizia kaenda toilet nichukue handbag yake nichomoe ela tushare pamoja bill.akanifuma naingiza mkono kwenye mkoba.nilipata aibu ya mwaka.nafwaaa