Nipo form five hii ishu ndiyo ikanitokea.
Siku hiyo kwenye begi langu la nguo nikakuta chvpi ya kike, inaonekana iko muda mrefu tu, akili yangu ikajua hii ni ya mpenzi.
Nikampigia nikamwambia kuna chvpi yako kwenye begi langu akajibu hapana mi sijwahi kuacha chvpi huko. Nikang'ang'aniza akasema basi nitakuja kuiona kama yangu niichukue.
Baada ya kufikiria kwa muda nikakumbuka ile chvpi ni ya ex wangu, siwezi kuipoteza katika mazingira ya kutatanisha lazima nitaulizwa.
Nikaenda Kariakoo nikanunua chvpi dazeni nikarudi nazo mjengoni ile nyingine nikaitupa juu ya bati, bi dada kafika baada ya muda anauliza hiyo chvpi iko wapi, namtolea dazeni huku najiongelesha "Surpriseeee" akapagawa kwa furaha pale ile ishu niliizima hivyo.