HEBU SIKIA HII
Mwaka juzi 2015 ilikua ijumapili padri akiendesha misa kwenye kigango cha GUNGU kigoma, Basi bwana ikafika ule muda wa kwenda kupokea mkate wa mwili wa yesu {Eukarist takatifu} Sasa wakat wa kupokea padri anasema "mwili ya yesu" unatakiwa ujibu "Amina" basi mm nikajibu "Tunauabudu" akarudia tena nikajibu vilevile, ikabidi anipeleke kwa KATEKISTA pembeni akanielekeza hapo wame baki kama watu watatu kwenye msitar, katekista akanielekeza nikarudi, kuulizwa nikasema tena tunauabudu weeee nilitimuliwa mbio kidogo nile vibao. Padri akanitangaza kanisani, halafu ukichangia nilivyo maarufu kanisan niliaibika sana, mpaka leo naogopa kula ule mkate usio kua na chai wa blueband
CHARMILTON