Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
Kujamba ni kupumua hautakiwi ujibane mkuu.Ndio ni kujamba tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimewahi kujamba staff,,,nilikua nasinzia nikapitiwa usingiz,,,nikaskia Jirani yangu anacheka na Wakati huo nilikua nahisi/naota najamba,,,niliskia aibu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ungemtia nazi tu mkuuBinafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
Aaaah nilimchukulia kama amepata ajari kazini tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ungemtia nazi tu mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimewahi kujamba staff,,,nilikua nasinzia nikapitiwa usingiz,,,nikaskia Jirani yangu anacheka na Wakati huo nilikua nahisi/naota najamba,,,niliskia aibu sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
nilikwenda sehemu kikazi asa yule mwenyeji wangu alenipokea ndiye alinijambia.Na nani mkuu?
Puliza pafyum zako ukiwa pekee yako mkuu sipati picha ungeachiwa msosi wa familia nzima hapo mezani😃😃Je ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu iwe kwa kujua au kwa ghafra? Je ulijisikiaje siku hiyo?
Binafsi niliwahi jamba mbele ya mdingi wakati tuko mezani tunapiga msosi mzee alinitazama kwa jicho moja matata ambalo sijawahi muona nalo kabla.
Nb.
Kumbuka kwa malezi yetu ya kiafrika inatafsiriwa kwamba kujamba mbele ya mtu aliyekuzidi umri au unayemuheshimu ni kama kumkosea Adabu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]khaaaBinafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!