Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Je ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu iwe kwa kujua au kwa ghafra? Je ulijisikiaje siku hiyo?

Binafsi niliwahi jamba mbele ya mdingi wakati tuko mezani tunapiga msosi mzee alinitazama kwa jicho moja matata ambalo sijawahi muona nalo kabla.

Nb.
Kumbuka kwa malezi yetu ya kiafrika inatafsiriwa kwamba kujamba mbele ya mtu aliyekuzidi umri au unayemuheshimu ni kama kumkosea Adabu.
 
Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
 
Nimewahi kujamba staff,,,nilikua nasinzia nikapitiwa usingiz,,,nikaskia Jirani yangu anacheka na Wakati huo nilikua nahisi/naota najamba,,,niliskia aibu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ungemtia nazi tu mkuu
 
Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajikuta upo sehemu mathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
 
Je ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu iwe kwa kujua au kwa ghafra? Je ulijisikiaje siku hiyo?

Binafsi niliwahi jamba mbele ya mdingi wakati tuko mezani tunapiga msosi mzee alinitazama kwa jicho moja matata ambalo sijawahi muona nalo kabla.

Nb.
Kumbuka kwa malezi yetu ya kiafrika inatafsiriwa kwamba kujamba mbele ya mtu aliyekuzidi umri au unayemuheshimu ni kama kumkosea Adabu.
Puliza pafyum zako ukiwa pekee yako mkuu sipati picha ungeachiwa msosi wa familia nzima hapo mezani😃😃
 
Back
Top Bottom