Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapo Lazimaa upigee pafyumuu kalii
 
Nimewahi kujamba staff,,,nilikua nasinzia nikapitiwa usingiz,,,nikaskia Jirani yangu anacheka na Wakati huo nilikua nahisi/naota najamba,,,niliskia aibu sana
Pole mwalimu,
Uache sasa michezo ya amber rutty
 
Kipindi nipo secondary tupo kwenye kongamano la pasaka shule karibu zote za mkoa ilikuwa usiku tupo kwenye bwalo fulani tupo kimya balaa hata mende akipita inamsikia.. Jamaa mmoja jirani yangu akasinzia akajamba kwa sauti watu wote tukasikia jamaa aliamshwa na vicheko ukumbi mzima! [emoji16][emoji16][emoji23]
 
Haukujamba wewe kweli mkuu?
 
Sana tu tena kwa raha zangu mwenyewe wakati baba na mama wananichamba. Zaidi ya hawa wawili (baba na Mama) sina ninayemuheshimu zaidi na ndiyo maana ninajamba anytime nikijisikia hata kuwe na watu lukuki sijali.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo nadhani hakumaliza kongamanooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…